Baba harusi anaonekana mwenye mawazo sana
Bidada full kuchekelea
Anawaza mke wake atatumia jina lipi.... Mrs N ...Nnauye au ????
mawazo yako jimbo la kalenga
Utadhani amepigwa ndoa ya mkeka full mawazo au kitu cha zamani pia kimehudhuria?
Sita kwa sita kwa hapo kama jambo la ziada tuTatizo la kuoa over size!
Sijui kama atamuweza kunako 6x6.
Mmoja anaitwa Itikadi (wa kushoto), mwingine Uenezi.(wa kulia)
Hii tabia ya kuoa mwanamke akiwa mjamzito itaisha lini??????????
Umejuaje mkuu?!
Kwa mara ya kwanza kaonekana bila kuvaa kijani au njano! lakini no! labda boxer