ni nani hawa??

ni nani hawa??

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,470
Reaction score
9,053
wakuu, naomba mnisaidie kuwajua hawa na ni wapi walikuwa na kwa ajili ya nini? picha.jpg
 
Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa...
 
Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa...

Hapo kwenye bold sijakusoma. Huo uheshimiwa unatokana na nini? Kulala bungeni?
 
the next president mheshimiwa wassira akifanya mazoezi ya kukagua gwaride
 
Ndiyo maana mtu anapoanguka kwenye kura za maoni anapata stroke.Uheshiwa mzuri unapata heshima ya marehemu:A S thumbs_up::behindsofa::whoo:
 
kwa kujua kwamba hana chochote wamemuwkea gwaride la watoto na kwa upofu wake anajiona bonge la mtu.
 
Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa...
naye kwani yupo na akina Zitto kwenye hizo mbio za kuelekea Chamwino (serikali inahamia Dodoma)?
Na je ilikuwa ni tukio la nini hasa?
 
Back
Top Bottom