Kwa sasa hatujali CV tunataka utekelezaji.Mtu wakuondoa au kupunguza matatizo ya mifumo ya kifedha na ukuaji wa uchumi na atimaye maisha ya kila Mtanzania yasonge mbele bila shida
Njaa ina matatizo makubwa sana hivi mimi nashindwa kuelewa ni kitu gani hasa mpaka Kikwete achukiwe hivi? Mmetaka avunje Baraza La Mawaziri kavunja ametulia na kulipanga upya kila mtu analaumu tu hivi nyie watu wa Chadema mnao watu wanaofaa kuwa Mawaziri? Sugu ama Vincent Nyerere ama Mchungaji Msigwa ama aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini wanafaa kwa Wizara gani? Mbona hao ndo CV zao hazieleweki kabisa? Tuache mambo ya ushabiki ambao hauna msingi Mawaziri wameteuliwa tuwaache wafanye kazi karibu Mawaziri wote waliokuwa wanalalamikiwa wametoswa na wengine waliobaki wamebadirishiwa Wizara Raisi kwa kiwango kikubwa amejitahidi ila nyie watu wa Chadema sifa yenu kubwa ni kulaumu tu hata kama kilichofanyika kiko sahihi!
karibia 90% ya mawaziri ni either dr or professor sasa naomba niulize huu udoctor wa mawaziri ni udoctor wa kutibu wagonjwa/wanyama, udoctor wa phd, udoctor wa kupewa(kama kikwete, mengi) au udoctor wa kuchakachua:thinking:
I was gonna ask that! Kumbe kila karipoti ukiandika unaita publication? Ngoja ni-update kwangu mweh!
Afu atakuwa dr of MBA, kwani JK ni dr of what vilee?
Babu mwenzangu Dark City naona unazeeka vibaya. Kwani rais JK wako siyo Dokta? Stuka!
Lets hope for the best , wengi huwa wanaingia wakiwa na sifa kama hizi ila mfumo wanaoukuta ndo huwa unawabadilishaI know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
nimewahi kusoma sekondari na dada mmoja akiitwa Thecla Mgimwa pale Lugalo ya Iringa, huyo ni familia yake pia? just want to knw.
Labda kwenye vyuo vyenu vya kata ndio publications zinakupatia PhD. After all, hizo publications amepublish kwenye journal zipi? Hizo ni repoti tu.Wewe Mwanamasala ndio Big Joke... Tatizo mkishapata vidigrii vyenu mnajifanya mnajua kila kitu. Hebu angalia publications alizofanya hapo then niambie kama hazitoshi kumpatia PhD kama alikuwa anatafuta!? PhD is all about publications we ****, sio kutudharau watanzania kuwa vile tu kuna wapuuzi wachache
Hujui kwamba enzi hizo kuandikishwa darasa la kwanza ilikuwa inabidi upimwe kwa kujishika masikio, kukimbia, kubeba kidumu cha maji nk, naona hakuweza kutosheleza viwango hivyo mpaka alopotimiza miaka 11 ndipo akakubalika. Hata Mwalimu Nyerere alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 14 baada ya ku graduate masuala ya kuchunga mbuzi wa nyumbani. Hayo ndiyo mambo kale!!!
Mkuu,na wewe umeamua kufanya hivyo kutokana na Mkulu kupenda kujjita Dr au?Kuanzia sasa ni mimi najiita Dr Ndenga finish...
Wewe , acha utani. Kuna daktari hata wa wadudu mwenye qualifications kama hizi??
Dark City, huyu Waziri mteule hili ndilo eneo lake Professionally, tatizo wakishaingia huko wanaenda kufanya wanayoyajua wao ambayo hata darasani hayapo
Hakipo tena baada ya NBC kutwaliwa na Makaburu