Ni nani Dr. William Mgimwa?

Naona UDSM haitoi Economists sasa!Mgimwa na Mkulo ni mediocre wa ki Tanzania.Hawana degree lakini ni mawaziri wa fedha!kicheko na uswahili wetu
 
Alafu hiyo picha mbona jamaa kapaka piko?
 


Safi sana ndugu,

Kwa wale ambao tuko sober, tunasubiri this time next year hili baraza la mawaziri litakapokuwa linafumulia tena baada ya ripoti mpya ya CAG!!

Hakuna jipya wanaloweza kufanya na hawawezi kuokoa kitu kwani maji yalimwagika kitambo!
 
Jamani labda hii CV hajai'update,hii ilikuwa kabla haja'ukwaa u'daktari wa falsafa.....labda!!

Mkuu,

CV inasema hivi (usisome alipoandika to date, as if ana uhakika wa kufika huko)

Sasa udaktari kaupata lini na kwa nini hauweki kwenye CV??


[TABLE="class: cms_table, width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]Company Name[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]Position[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]From Date[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]To Date[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Kalenga Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Babu DC, acha vijana wajitutumue bana! U don't need to defend ur cv, wa kada yako wanakutambua.

Ahsante sana King'asti,

Kwa heshima yako, naomba sasa nikawabembeleze wajukuu wapumzike!!

Hata kama hawa vijana kama huyo Mkweche watazidisha uchokozi...I will leave it for their peers!!

Babu DC!!
 


Ndugu yangu nahisi huwafaamu wanyarukolo. Ni watu wasiopenda ubabaishaji bahati nzuri katika soma soma yangu nimefundishwa na hawa watu. Ni watu waadirifu saana. Cjui kuhusu huyu mzee ila kama mwana jamii mmoja aliposema alikuwa anabana NBC hiyo sioni ajabu. Wanyaru wangekuwa wanatabia kama za wachaga(Kubebana) hii inchi ingekuwa yao na bahati zaidi walikuwa na fulsa za elimu, tatizo lao kila mtu hutoka kivyake n.
 
Huyu mzee kaniwahi tu kwenye kuteuliwa, leo ni siku yangu ya mwisho kulala maskini kesho mchana 'ba riz' ananiteua UDC Mbozi kwenda kuziba pengo la aliyejiuzulu.
 
Huyu mzee kaniwahi tu kwenye kuteuliwa, leo ni siku yangu ya mwisho kulala maskini kesho mchana 'ba riz' ananiteua UDC Mbozi kwenda kuziba pengo la aliyejiuzulu.

Mkuu kagame, baba ritz ameshamaliza uteuzi... Je, unataka uteuliwe nafasi ya uwakilishi wa u-kamerun kama mbatia?
 
Babu mwenzangu Dark City naona unazeeka vibaya. Kwani rais JK wako siyo Dokta? Stuka!


Haya bwana, ngoja na mie nikamtafute mtu wa kugaia udokta kwa gharama yoyote ila....!!

Siku nikirudi hapa lazima kila mtu apige salute na kumsalimia Dr Babu DC!!
 

dah! taratibu diwani, naona ulikuwa husomi zile nyuzi
kuhusu yule mkulu mnyaru aliyekuwa anashutumiwa kubeba
wanyaru. labda jamaa alikuwa anasingiziwa.
 
 
 
 
Mkuu kagame, baba ritz ameshamaliza uteuzi... Je, unataka uteuliwe nafasi ya uwakilishi wa u-kamerun kama mbatia?

Kuna baadhi ya vichwa nimevishangaa kama huyu waziri wa fesha na yule wa maliasili na utalii, kumbe kuna wengi ambao wanavuta hisia za matumaini, kwa nini alikuwa anawang'ang'ania akina megawati na mkulo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…