Huo utaratibu umeanza lini? Tuiachieni mamlaka ya uteuzi ifanye kazi yake jamani!!Watushirikishe alumns tuchangie mawazo kuhusu mwenye weledi wa kusogeza chuo chetu mbele. Haya mambo ya wanasiasa kutuchagulia viongozi wa taasisi nyeti kama UDSM yameshapitwa na wakati. Au watangaze kabisa watu washindane na atakayefaulu vigezo husika ndo ateuliwe na Rais.
Sifuni mchome