Sheria au mtutu?Hakuna yoyote
Awamu hii ni moto moto
Hapa kazi tu inatufunza mengi na tunajifunza kufata sheria etc
Atachaguliwa tena kama kawa 2020 kuendelea na uraisi.
Wengi wanapenda anayofanya.. ndio ilivyo hakuna jinsi.. lia tu
Kuku dume anaitwa jogoo! je paka dume anaitwaje?
Naona umeshaingiziwa buku 7 zako kwani nani amezungumzia kuhusu awamu.
Wakati huo vyombo vya ulinzi viko chini ya nani mkuu?Mpinzani pekee anayemmudu huyo parka ni tundulisu.na kama lowasa asipo ng'ang'ania,ninauwakika lisu atakuwa mr President
Ww na yeye huwa mnapendana sana kwa kuwa huwa mnafurahisha sana kitandaniHakuna yoyote
Awamu hii ni moto moto
Hapa kazi tu inatufunza mengi na tunajifunza kufata sheria etc
Atachaguliwa tena kama kawa 2020 kuendelea na uraisi.
Wengi wanapenda anayofanya.. ndio ilivyo hakuna jinsi.. lia tu
Kuna kipindi uvumilivu hufikia kikomo mkuu.Amani kwenye njaa huwa haidumu.hata majeshi wanafamilia zao wana ndugu zao,nambar tunazisona nao.Wakati huo vyombo vya ulinzi viko chini ya nani mkuu?