Ni nani atakayekuwa CAG mpya wa Tanzania ?

Bila shaka yoyote ile mipango ya kumng'oa Profesa Mussa Assad ilipangwa muda mrefu na ilikwishavuja humu jf mapema sana ( asanteni wana jf kwa jicho la 3 ) , sitaki kurudia yaliyotabiriwa ambayo tayari yametimia , tunafahamu kwamba atakayeziba nafasi yake anapaswa kuwa mtu wa NDIO MZEE .

Hapa Jf ni sehemu yenye macho makali mno , na bila shaka kuna viona mbali wanaofahamu mrithi wa Mussa Assad , sasa kwa heshima na taadhima ninaomba wadau wamtaje aliyeandaliwa kuchukua nafasi hii , jf siku zote ni ya kwanza

Naomba kuwasilisha .
Apewe Sugu tu!
 
Ni kikaragosi cha dikteta na dhalimu wa magogoni ambaye kazi yake ni kuhakikisha wizi na ufisadi wa pesa za walipa kodi unaofanywa na kichaa pale hazina hauandikwi wala kuzungumzwa popote pale nchini. Huyo kichaa ana laana ya Mungu.

Nakulilia Tanzania .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
binocular yangu japo inaisha isha chaji ila kwa mbaaaaali namuona Prof. Lipumba akikagua hesabu za serikali
 
Nafikiri ni kutoka kulekule kuliko ungua shoka ukabakia mpini
View attachment 1061056

Bila shaka yoyote ile mipango ya kumng'oa Profesa Mussa Assad ilipangwa muda mrefu na ilikwishavuja humu jf mapema sana ( asanteni wana jf kwa jicho la 3 ) , sitaki kurudia yaliyotabiriwa ambayo tayari yametimia , tunafahamu kwamba atakayeziba nafasi yake anapaswa kuwa mtu wa NDIO MZEE .

Hapa Jf ni sehemu yenye macho makali mno , na bila shaka kuna viona mbali wanaofahamu mrithi wa Mussa Assad , sasa kwa heshima na taadhima ninaomba wadau wamtaje aliyeandaliwa kuchukua nafasi hii , jf siku zote ni ya kwanza

Naomba kuwasilisha .

In God we trust
 
Back
Top Bottom