johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,975
- 146,187
Apewe Sugu tu!Bila shaka yoyote ile mipango ya kumng'oa Profesa Mussa Assad ilipangwa muda mrefu na ilikwishavuja humu jf mapema sana ( asanteni wana jf kwa jicho la 3 ) , sitaki kurudia yaliyotabiriwa ambayo tayari yametimia , tunafahamu kwamba atakayeziba nafasi yake anapaswa kuwa mtu wa NDIO MZEE .
Hapa Jf ni sehemu yenye macho makali mno , na bila shaka kuna viona mbali wanaofahamu mrithi wa Mussa Assad , sasa kwa heshima na taadhima ninaomba wadau wamtaje aliyeandaliwa kuchukua nafasi hii , jf siku zote ni ya kwanza
Naomba kuwasilisha .