Ni nani anayemdanganya Edward Lowassa?

"Uchaguzi wa Mwaka Jana , CCM tulishindana Wenyewe kwa Wenyewe , Kwa Maana Upinzani umekufa na tukabaki wenyewe tu , Waliokuwa Upande wa Pili woote Wazawa wa CCM "

Mbunge Msukuma
Star TV LIVE
Prof. Lipumba ameishaainisha katika thread hii,
 
Hoja yako inakosa msingi wa hoja (locus standi).

Alphonce Mawazo alikuwa mgombea Ubunge Jimbo la Busanda wakati Joseph Msukuma aligombea ubunge wa CCM katika jimbo la Geita vijijini.
 
wewe kenge maji usiongee kama unapumuliwa kisogoni!
 
Lowassa amevuruga sana!

Mbaya zaidi wale waliotumia miaka zaidi ya minane kumsema fisadi, akawapa miezi mitatu wamsafishe kwenye majukwaa na wamuweke mgombea Urais kwa tiketi yao.
 
Kuna hatari ya filosofa kwisha Tanzania na kubaki na green guard tu
 
Hana jipya, asa iv anasema ccm inatumia ilan ya ukawa kafulia mbaya
 
Yaani wewe km umevimbiwa mihogo, Hiv lowassa angetaka kuwa km Nkurunzinza pangetosha hapa??? Acha wehu
 
Ukimsikiliza Lowassa kwa makini utagundua ni mtu ambaye kwa sasa anaishi kwenye fool's paradise!
 
Biblia inasema utakapokuwa umekula na kushiba na kujenga nyumba nzuri usimsahau Mungu wako.

Wew naona umekula na kuvimbiwa halafu unaanza kuharisja.

Mbona mikutano ya upinzani ilipokuwa ikizuiliwa kwa hofu ya usalama hukuandika upuuzi huu.

Kwahiyo kosa lake unaona kuto chochea machafuko kama vile Burundi; au Syria hapo ungejisikia vizuri.

Lowasa ni mwanasiasa hajifunzi siasa; anajua maana ya anacho sema.

Wew kama unataka kuona kwa vitendo anachokisema nenda Syria au Afrika ya kati kawaulize hivi ninyi ni nyumbu au watu?
 
We jiangalie sana, almost 80% bado mioyo yao ipo kwa Lowassa kama hujui. We unafikiri kuzuia mikutano na maandamano ya kisiasa imefanywa kwa bahati mbaya..?? Jua hvo kuwa hata leo hii bado watu ndio wanamkubali Magufuli kwa kazi flanflan ila mioyo ipo kwa Masai.

Kama sio ukimya wa Lowassa leo tungekuwa tunaongea mengine kabisa.. Mwache Mzee wa watu anabusara sana
 
Lowasa ni hazina ya taifa nyie huko lumumba endeleeni na majungu yenu lakini tunatambua mti wenye matunda mema ndo unarushiwa sana mawe.Lowasa amepewa hekima sana na Mungu ndo mnahangaika kumtukana lakini hawajibu yupo kimya.
 
Mleta mada kitendo cha wewe kushindwa kumpuuza Lowasa na kumjadili kila Mara in dalili za kum admire
Kwa hiyo unataka kusema wale ambao huwa wanamjadili shetani kila mara wanakuwa wana mu-admire!
 
Kwa kuwa bado mdomo anao hebu awaambie basi wafuasi wake hata leo hii waingie barabarani tuone kama yaliyomo yamo.
Alijaribu kutuma ujumbe(instigate violent) siku ambayo alijitangazia ushindi na kuitaka NEC imtangaze lakini wananchi wengi wakampuuza.

Lowassa is barking dogs seldom bite!
 
A crippled post full of lies and misleading opinions, one-sided thoughts deliberately constructed to hide or cover the unbeatable truth.... A truth that is bitter to others like you.... The world knows exactly what happened before and after that funny election...so think twice pal before you come out with a hunk of this kind....!!!
 
mpuuzi wewe kama sio hekima za lowasa sasa hivi ungekuwa kweye kambi za wakimbizi kenya. Pangewaka moto hapa nchni
i
Hekima gani ???

Baada ya matokeo CHADEMA mliitisha maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima.

Hata hili mmesahau!?!
 
Wale wenzetu wa kule walikua wamedhamilia kutuuzia mbuzi kwenye gunia ili wale national cake kibaguzi kama kawaida yao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…