ABDUL JIRANI
Senior Member
- Jul 20, 2013
- 176
- 52
Baba anatembea na house girl, housegirl anatembea na houseboy. Houseboy anatembea na mtoto wa kwanza wa baba. Mwisho wa siku housegirl anapata homa anakwenda hospital vipimo vikaonyesha ni mjamzito pia ni mwathirika wa VVU:
Je, nani amempa housegirl ujauzito kati ya baba na haouseboy?
Je, kati ya mama, baba, mtoto wa kwanza, houseboy na housegirl, nani kaleta VVU ndani ya familia hiyo?
Je, nani amempa housegirl ujauzito kati ya baba na haouseboy?
Je, kati ya mama, baba, mtoto wa kwanza, houseboy na housegirl, nani kaleta VVU ndani ya familia hiyo?