Ni nani aliyekutuma kuoa mwanamke flat screen?

Ni nani aliyekutuma kuoa mwanamke flat screen?

Wambie bwana,faida ya makalio ni kuyabofya bofya wakati wa mamboz matokeo yake stim zinakua juu kabisa.
 
Tafuta wa wakwako acha kupiga miyowe maana haitakusaidia

Mimi sipigi yowe namtafuta kimya kimya tufaidi wote

Au siyo mzee . nadhani hataki kupigiwa yowe tu ile kushare bila yowe nadhani karuhusu

Ngoja nimmendee.
 
Mimi ni mfuasi wa shehe kipozeo,wanawake flat screen wana uzuri wao ila wenye neema za allah ni zaidi,wazungu wametuharibia dada zetu kwa kuwadanganya wasile wawe kama midoli kwamba ndio uzuri kumbe wanawaharibu.

Huko ufaransa juzi juzi walipiga marufuku makampuni ya mitindo kuwatumia watu waliojikondesha kwenye matangazo yao ya biashara kwamba inakiuka misingi ya afya ya mwanamke,makampuni ya mitindo wao wanapiga pesa huku wanawakondesha dada zetu,wanawaharibia soko.

Angalia kina kim kadashiani, na wengine wanaenda kuongeza ukubwa wa makalio ili wapendeze,wao sio wajinga,wanajua makalio ndio habari yenyewe.

Wanawake neema za Allah ni watamu sana,wana joto,wamejaa nyama katikati ya mapaja yao,kwenye mamboz ndio unafaidi,unakula nyama tupu,tena steki laini.
 
Jaman tunavosema chogo hatuzungumzii yale makarandinga mamama yananuka unene hapana...
Tunamaaanisha vitu kama ivo.
Kote mdogo yani alafu chogo mashallah
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1430150818165.jpg
    uploadfromtaptalk1430150818165.jpg
    34.2 KB · Views: 631
Acha hizo kizuri lazima kisifiwe, tena kwa shangwe.
 
Naongea na wanaume wenzangu wale walio owa wanawake wenye makalio madogo halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga mikelele.

Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia kidogo basi mijanaume isiyokuwa na akili inaanza kupiga mayowe oh wakubwa wanafaidi ohh marshallah.

Kwanini na wewe usioe au kutafuta mwanamke mwenye makalio na ukaacha kutamani vya wenzao. Kwanza unamkosea adabu mwanaume mwenzio kupiga miyowe utadhani umeona utupu wa mzazi wako.

Acheni ujinga tuacheni tuenjoy na wake zetu maana hatukuwatuma kuoa flat screen.

Nitonye

hiyo mijitu inayopiga miluzi itakuwa miteja tu...mwanamume mwenye akili timamu hawezi kupiga miluzi ovyo...wanakera sana.
 
binadamu ameumbiwa kushangaa, hivyo akiona kitu cha tofaut lazma ashangae. Ila kila mtu ana uchaguz wake.
 
Naongea na wanaume wenzangu wale walio owa wanawake wenye makalio madogo halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga mikelele.

Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia kidogo basi mijanaume isiyokuwa na akili inaanza kupiga mayowe oh wakubwa wanafaidi ohh marshallah.

Kwanini na wewe usioe au kutafuta mwanamke mwenye makalio na ukaacha kutamani vya wenzao. Kwanza unamkosea adabu mwanaume mwenzio kupiga miyowe utadhani umeona utupu wa mzazi wako.

Acheni ujinga tuacheni tuenjoy na wake zetu maana hatukuwatuma kuoa flat screen.

Nitonye
[/QUOTE Nan kakudanganya kuwa unaenjoy, ugonjwa wa moyo huo
 
Wanaume wote wanapenda wanawake wenye makalio je wakioa wote wenye makalio makubwa flat screen wataolewa na wakina nan? N mtazamo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom