neema azipendazo anko kipozeo
Mada imeandikwa kwa ukali balaa!! ila hata hivyo ina ukweli ndani yake.Yaani sijui ni nini kimejengeka kwenye mentality ya wanaume wengi kuwa mwanamke mwenye matako makubwa ndo mzuri,sijui kwa kweli.Binafsi nawazimia sana wanawake wenye makalio makubwa, lkn wale niliofanikiwa kudate nao hawana jipya lolote,wala matako yao hayana mchango wowote kwenye mapenzi. Lkn bado nikiona mwanamke kafungasha napagawa hata sijui ni shetani gani huyu.
soko lipo mbona,.mi nawafigilia flatscreens lakini mwenye shep kidogo,sipendi mizigo mikubwauwiiiii wuwiii uwiiii eeeh na flat screen yangu ndiyo kuniharibia soko jamani mwe mwe mwee mmmh
Hebu muulize naye mwanaume yukoje au ni ile style ya Funcargo au Noah!Yeye yuko na Nkewe kamuoa bado anajipitisha nae rodini huku katega misikio eti wanaume wanamsemaje nkewe!Mbona hazungumzii yeye anavyojadiliwa.uwiiiii wuwiii uwiiii eeeh na flat screen yangu ndiyo kuniharibia soko jamani mwe mwe mwee mmmh
Kweli tumetofautiana; binafsi SIWAPENDI wanawake wanene, sijui huwa nawaonaje!!!
Wanawake flat screen ndo watamu bhana
kwani we upoje ili associate professor nianze kukumendeaSpeaking from experience ama???
kwani we upoje ili associate professor nianze kukumendea
Haa! Mi nashukuru Mungu hakunifanyiaga ubahili katika hilo! nina ka TV kenye kisogo! And i keep away from the children.
ha ha ha ha ............... tuonane hillpark leo jioni kwa maongezi zaidiFlat screen mbele sichezi nyuma sitingishiki
Anaweza kua sio mnene ila anamzigo wa haja
ha ha ha ha ............... tuonane hillpark leo jioni kwa maongezi zaidi