Flat screen wako poa sana kuliko hao wenye viazi
uwiiiii wuwiii uwiiii eeeh na flat screen yangu ndiyo kuniharibia soko jamani mwe mwe mwee mmmh
haya ngoja nitawapelekea lohNenda kwa wazungu wanapenda flat screen ili wasogelee karibu na mlango wa "goti"
Flat screen wako poa sana kuliko hao wenye viazi
uwiiiii wuwiii uwiiii eeeh na flat screen yangu ndiyo kuniharibia soko jamani mwe mwe mwee mmmh
Tupia code no. ya hii nchiKaribu Dangote Mtwara ujionee fursa za uwekezajiii! Hongera mkuu wa Mkoa kwa 'kuvutia' wawekezajiiii... Safari hii lazima uchukue na uwaziri wa viwanda na biashara au ile wizara tata ya utaliii...
h haaha haha duhsubconsciously, wanaume huoa wake wanaofanana na sura ya mamake, by the time anashtukia shepu, anakuwa kaisha potea
Olewa na anayependa flat screen asije akapiga miyowe mara aonapo wake zetu