Ni nani aliyekutuma kuoa mwanamke flat screen?

Ni nani aliyekutuma kuoa mwanamke flat screen?

Nilidhani flat screen ndio habari ya mjini kumbe zenye vichogo bado zinatamba!
Iwe flat screen au yenye kichogo picha ni zile zile! Au Dstv haikamati flat screen?

Mkuu flat zina mawenge alafu zinaharibika mapema alafu mwizi akija anaibeba kirahisi
Mi chogo langu mwaka wa pili huu yuko vilevile yani namuitaga hitach maana ye kajaza nyuma tu na chakula cha mtoto kidogo saa sita ukija kwingine mashalaa hajanenepeana. Sasa kwa hali hii flat si wataskizia kwenye bomba
We mwenyewe unaona Big Bon afrikana na kona mbaa viflat ndo vimejaa ivo vflat vimekua digitoloze sana
 
Mada imeandikwa kwa ukali balaa!! ila hata hivyo ina ukweli ndani yake.Yaani sijui ni nini kimejengeka kwenye mentality ya wanaume wengi kuwa mwanamke mwenye matako makubwa ndo mzuri,sijui kwa kweli.Binafsi nawazimia sana wanawake wenye makalio makubwa, lkn wale niliofanikiwa kudate nao hawana jipya lolote,wala matako yao hayana mchango wowote kwenye mapenzi. Lkn bado nikiona mwanamke kafungasha napagawa hata sijui ni shetani gani huyu.
 
haya sie flatscreen leo tumeamuliwa
 
Naongea na wanaume wenzangu wale walio owa wanawake wenye makalio madogo halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga mikelele.

Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia kidogo basi mijanaume isiyokuwa na akili inaanza kupiga mayowe oh wakubwa wanafaidi ohh marshallah.

Kwanini na wewe usioe au kutafuta mwanamke mwenye makalio na ukaacha kutamani vya wenzao. Kwanza unamkosea adabu mwanaume mwenzio kupiga miyowe utadhani umeona utupu wa mzazi wako.

Acheni ujinga tuacheni tuenjoy na wake zetu maana hatukuwatuma kuoa flat screen.

Nitonye

Eeeeh wape habari yao!
 
Mmmmmmh watu mnalaana mmewaumba nyie hovyooo ,Mungu alivyo umba watu tofauti tofauti na kwa maumbo tofauti tofauti alikuwa na sababu zake ..umbeni wa kwenu wasio flat screen
 
Duh !!!!!
 

Attachments

  • 1429804471592.jpg
    1429804471592.jpg
    72.7 KB · Views: 996
Kwa mfano , in worst scenario, ukakutana na wasichana 2, mmoja flat na mwingine Chogo , alaf ukakuta wote hawana akil kichwan , we utamchagua yupi?, Men weng hatupend wanawake wanao lala na wanaume weng, obvious huyo mwenye Chogo hafai Kuwa mke coz atakuwa anagongeka kirahis...,
Will go for flat ,
 
Kwa mfano , in worst scenario, ukakutana na wasichana 2, mmoja flat na mwingine Chogo , alaf ukakuta wote hawana akil kichwan , we utamchagua yupi?, Men weng hatupend wanawake wanao lala na wanaume weng, obvious huyo mwenye Chogo hafai Kuwa mke coz atakuwa anagongeka kirahis...,
Will go for flat ,

Mwanangu kama fanya utafiti ujue wanaume tunapenda chogo lakin chogo wengi wametulia weng hatupend flat ila flat niwale tekenya anatanua nenda maclab na maeneo qngalia vile vipopompo venye kimbelembele cha kua mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom