mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,652
- 1,238
jibu mama!hili swali karibia na weekend duh ...
....nilifundishwa na beki 3 wetu enzi hizo hakuna ngoma,ni sterio tu.Hapa ndugu zangu naomba kuuliza kuwa ni nani aliyekufundisha kufanya mapenzi?Maana nimeshasikia watu wanalalamika,ooh mara demu wangu hajui mapenzi,oooh mara flani anajua mavituuz,mara yule gogo,huyu hanifikishi.Sasa napenda kujua ninani anayefundisha au mwalimu bora na yupo wapi?Je wewe aliyekufundisha ni yupi?Chaitajika nini ili uwe mtaalam wa hii kitu?
Duu,ianaelekea alikuwa expert kweli kweli na bila shaka wewe umehitimu hilo somo zima!!....nilifundishwa na beki 3 wetu enzi hizo hakuna ngoma,ni sterio tu.
hiyo kitu unajifunza kwa kufanya! hakuna mwalimu wala nini.
...Hii imenifurahisha sana.......nilifundishwa na beki 3 wetu enzi hizo hakuna ngoma,ni sterio tu.
Swali sio ulianza na nani swali nani alikufundisha na mna y akukamua vizuri.
Kwangu mimi nilijua kukamua vizuri baada ya kusikia story kwa watu kwamba wana wake wanatakiwa ufanye hivi na vile na pia wanawake ,kila mmoja ana namna yake ili aweze kusikia vizuri,
Kwa hiyo ikawa na jaribu kila njia kila aina ya utundu pamoja na kucheki movies za ma lesbian wakisagana , ili kuona nimfanyeje mwanamke , pamoja na kuangalia movies za matusi , kuchukua ujuzi, matokeo yake nika pata shahada ya kwanza ya kufanya mapenzi.kiasi mbaka nikastukia nimesha dumbukia kwnye fetish world !
Hapa ndugu zangu naomba kuuliza kuwa ni nani aliyekufundisha kufanya mapenzi? QUOTE]
Mpenzi wangu