Ni nani alisajili "KESI INVESTMENT" Nchini Rwanda?

Ni nani alisajili "KESI INVESTMENT" Nchini Rwanda?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Kampuni hii inaonekana kusajiliwa nchini Rwanda, Mara tu baada ya utawala wa awamu ya 5 kuingia madarakani mwaka 2016.

Inatuhumiwa kukwapua pesa za umma zaidi ya bilion 400.

Je, kuna mambo tunafichwa juu ya kampuni hii ya usafirishaji wa mizigo?

Je, kwanini imesajiliwa Rwanda na imekwapua kodi za watanzania?

Nani yupo nyuma ya hii kampuni?
 
Usipotoshe!


Kesi investment ni kampuni ya Raia wa Uganda aliyelowea nchini Rwanda.

Mmiliki wa gari hizo ni mfanyabiashara mkubwa nchini Rwanda.Na ndiye anayemiliki kampuni ya ROBA GENERAL.
 
Back
Top Bottom