Glasi zilikutwa kwenye beseni la kuoshea vyombo...............zilishamwagiwa maji, sidhani kama alama za vidole zinaweza kupatikana hapo................................. Swala la Daktari wa uchunguzi kuchelewa, bado linawaumiza vichwa wachunguzi wa kesi hii nchini Ufaransa......................Ninatumai epsode...itarejea karibuni, kwani muuaji wa Sophie bado hajapatikana. Ktk uchunguzi sijaona kama zile glass mbili zilifanyiwa uchunguzi wa alama za vidole hivyo kuwezesha kujua kama zilitumika kabla ama baada ya mauti ya Sophie, pia ni kwanini Dr. wa uchunguzi achelewe kwa muda wote huo na kusababisha kuidhalilisha maiti?
Sawia kaka, ni funzo tosha kweli!
Glasi zilikutwa kwenye beseni la kuoshea vyombo...............zilishamwagiwa maji, sidhani kama alama za vidole zinaweza kupatikana hapo................................. Swala la Daktari wa uchunguzi kuchelewa, bado linawaumiza vichwa wachunguzi wa kesi hii nchini Ufaransa......................
Kuna uvumi ulivumishwa mara baara ya mauaji hayo kwamba, Bailey alishiriki au alifanya mauaji hayo ili aweze kunufaika kifedha kwa kuuza habari za kifo hicho na kuzisambaza kwenye vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa na kujipatia fedha. Na hiyo ilitokana na umaarufu aliokuwea nao Sophie....................Hata hivyo uvumi huo haukutiliwa maanani........!Ndio Gustavo,
Kwa kweli kisa kinasikitisha sana na mbay zaidi, muuaji hajajulikana ni maswali magumu kutegua.
Jamani marehemu wangeweza kurudi na kutugelia haya mafumbo ingekuwa vyema sana...
Sidhani kama polisi wetu wanaweza hata kwenda robo ya safari hii.
ni nani xalimuua sokoine??
Mkuu hakuan magazeti yanayo toka kwako sijayapenda, sema mengine yanakuwa yana ukurrasa marefu sana... mpaa unachoka kabla hujayasoma.
Hii ni utata mtupu, polisi kama michosho vile. Ni nani alionekana akiosha viatu mtoni asubuhi sana? Na hao waume zake hao kunaweza kuwa na namna kwa mmoja wao.
Sante Mtambuzi.