n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,543
- 7,271
Nathan Wami Mwaluganje, huyu ndio alikuwa manager wa Rose mhando. Katikati ya safari huko wakawa mpaka wapenzi na booking zote pamoja na pesa za shows za ndani hata nje ya nchi huyo mzee alikuwa anazi handle yeye.Katika interview yake pale Clouds ameeleza situations mbalimbali alizopitia katika maisha za mateso na kuumizwa hata kupelekea kubaki na makovu ya mwili na rohoni.
Ni nani huyo mtu tishio kwa kiwango hicho? mpaka anaogopa kabisa kumtaja na anaishia kusema nimesamehe!
Japo tumjue tu, hata kwa picha pia wala si kwa ubaya maana amesamehewa na mhusika.
Hii dunia kila jambo lina wakat wake, hata uwe na nguvu za urais ukionea mtu lazima upate adhabu ya Mungu au Mamlaka au Watu au Nguvu ya asili...Kada achukuliwe hatua na Nani?
Alex Msama naye achukua fomu ya kugombea Uspika
Sasa ni dhahiri kwamba hali ni tete kwenye kinyang'anyiro hicho Promota wa Kwaya Alex Msama kutokea Msama Promotion leo amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Uspika wa bunge la Tanzania Sisi wananchi kwa sasa hatuna cha kusema , bali yetu ni macho tuwww.jamiiforums.com
Duuuuh kapitia magumu huyu Rose uwiiiiihNathan Wami Mwaluganje, huyu ndio alikuwa manager wa Rose mhando. Katikati ya safari huko wakawa mpaka wapenzi na booking zote pamoja na pesa za shows za ndani hata nje ya nchi huyo mzee alikuwa anazi handle yeye.
Dada alikuwa mraibu kabisa, ili aweze kuimba na kucheza kama chizi na akikataa hizo mishe alikuwa anakula kipigo heavy.
Walokole wanajijua wenyeweKatika interview yake pale Clouds ameeleza situations mbalimbali alizopitia katika maisha za mateso na kuumizwa hata kupelekea kubaki na makovu ya mwili na rohoni.
Ni nani huyo mtu tishio kwa kiwango hicho? mpaka anaogopa kabisa kumtaja na anaishia kusema nimesamehe!
Japo tumjue tu, hata kwa picha pia wala si kwa ubaya maana amesamehewa na mhusika.
Yes huyu ndie aliemtesa Rose inafahamika na alikuwa Mzee wa kanisa kanisa alikofahamiana na Rose, inajulikana huyu ndie aliemtesa Rose, na kuna interview Rose alishataja kabisa kuhusu huyu mtuNathan Wami Mwaluganje, huyu ndio alikuwa manager wa Rose mhando. Katikati ya safari huko wakawa mpaka wapenzi na booking zote pamoja na pesa za shows za ndani hata nje ya nchi huyo mzee alikuwa anazi handle yeye.
Dada alikuwa mraibu kabisa, ili aweze kuimba na kucheza kama chizi na akikataa hizo mishe alikuwa anakula kipigo heavy.
Wenyewe ni sisi.Hii nchi ni Pana zaidi ya tuijuavyo na ina wenyewe
Umefika mbali !Ni wakati wa jamii kumsaidia Rose MUHANDO.
Inatia aibu Kwa Miaka mingi Rose amelelalamika kuonewa na kuteswa. Mpaka kufikia Taifa la Kenya kumsaidia Rose.
Ajabu ni Vyombo vya Dola vya Tanzania viko kimya Kwa Miaka Sasa. Kwanini havichukui hatua?
Mtu mashuhuri kama Rose Muhando, napiga yowe Kwa Miaka Sasa Lakini hapati msaada.
Ni wakati tuitishe MAANDAMANO au matembezi ya amani ili kupaza sauti .
#justiceforRoseMuhando#
Mbona hamyasemi hayo mateso? Alimfungia kwenye vyumba vya siri na kumfanyia torturing kama gaidi anaye hojiwa Baaya ya kugoma kutoa siri fulani?Alex Msami.
Mateso aliyompa yanaumiza sana
Wanavyodai watu wa karibu:Mbona hamyasemi hayo mateso? Alimfungia kwenye vyumba vya siri na kumfanyia torturing kama gaidi anaye hojiwa Baaya ya kugoma kutoa siri fulani?
Ni kweli, huyo mzee alikuwa mafia hasa. Na tangu waachane Rose hajarudi kwenye level yake tena bila shaka kuna fuse watakuwa wameichomoa. Namwonea huruma sana anavyohangaika kwa hawa manabii mara Kenya kwa kina ng'ang'a mara kwa kina kuhani Musa etc lakini wapi. Hata akijitahidi kutoa ka wimbo, unasikika siku moja, maximum wiki moja humsikii tena. Mungu amsaidie sana.Wanavyodai watu wa karibu:
1. Alimgeuza punda wa ngono
2. Alipokataliwa kuhusu hilo alimtishia kumpoteza
3. Alipotaka wavunje mkataba wa kazi pia alimskia pisto mara kadha kuwa akivunja mkataba wa kazi atammaliza.
Note: Bukuku aliyasema haya mara kadhaa kuwa Rose asaidiwe apitia kipindi kigumu...watu hawakumwamini kwa jinsi walivyoonekana mbele ya jamii kuwa wameivana, kumbe uvunguni kulikuwa na magumu
Kila binadamu ana capacity yake ya utendaji kazi. Alipokuwa na shows nyingi za kimataifa alikuwa hana muda wa kupumzika maana manager tayari alikuwa ameshachukua pesa za shows mbalimbali so ilibidi abwie madawa ili kazi ziendelee kwa ile style yake ya uchezaji bila kuwa Hi asingeweza.Aiseee anamdunga acheze km chizi?