jozee jose
Senior Member
- Sep 22, 2022
- 147
- 359
Mmomonyoko wa maadili kwa kizazi cha leo umekuwa ukienda kwa kasi sana, nahisi itakuwa 10G😄😄.
Jambo hili limekuwa likileta mkanganyiko na kutupiana lawama kwa kila rika. Hebu angalia mitazamo ifuatayo
Kwanza,Watu wazima (50+) huwatupia lawama vijana hasa watoto 2000 ya kwamba wanaaribu maadili kwa kuiga tamaduni za kigeni hasa magharibi kwenye uvaaji na mahusiano ya kijamii
Pili, Maadili yameanguka kwa kuwa akina mama wa sasa nao wapo bize kwenye utafutaji. Tofautu na watu wa zamani hivyo watoto wadogo wanakosa msingi wa malezi angali wadogo hasa umri wa miaka (2 hadi 13)
Jambo jingine akina mama wengi hata wakiwa nyumbani na watoto hawana content za kuwafundisha watoto vichwni mwao yaan kutwa nzima ni kuperuzi Instagram,fb na kuangalia series zilizotafsiriwa tena wakiwa na watoto kabisaaaaaa
Tatu, Akina baba wao hujiona ni kujaza mimba tu na kazi ya kulea ni akina mama peke yako
Muda mwingi akina baba wanautumia kwa burudani zaidi hawajali watoto wakiwa wadogo
Baadae huanza kulala mtoto anampenda mama na wakati uzembe alianzisha mwenyewe
Hii upelekea kuwa na mitoto isiyojali chochote kwa sababu ya ubinafsi wa baba
Nne, teknolojia ina faida saana ila ina hasara kali mnoo ...zamani tulizoea wanaume ndio tulikuwa tunaangalia video na picha za ngono lakini kwa sasa wanawake wapo juu saana wanangalia ngono kama chakula vile,
Vijana wa shule hutumia simu kwa mambo ya ngono kwa 90%
Wazee nao hawajambo katika hili mbaka muda mwingine wanakosea wanatutumia video hizo mbaka tunajiuliza..... what is happening in this world
Lete mawazo nani alaumiwe hapo?