c h o l o
Member
- Dec 9, 2023
- 92
- 156
kuna SISI ambao mishe zetu zinahitaji uishi na kila aina ya watu ili upate ramani, ila kuna WAO ambao majambo yao hukamilika hata bila watu wa nje kuhusika.sasa ntakosa vitu gani kuchangamana na watu ambao naona hatuendani? si bora nifunge vioo?
Speaking of SISI, kujichanganya na raia ndo kila kitu, kikubwaaaaa ni kuelewa ww ni nani na unataka nini kwao.