Ni namna ipi bora kwako kuishi na watu?

sasa ntakosa vitu gani kuchangamana na watu ambao naona hatuendani? si bora nifunge vioo?
kuna SISI ambao mishe zetu zinahitaji uishi na kila aina ya watu ili upate ramani, ila kuna WAO ambao majambo yao hukamilika hata bila watu wa nje kuhusika.
Speaking of SISI, kujichanganya na raia ndo kila kitu, kikubwaaaaa ni kuelewa ww ni nani na unataka nini kwao.
 
Ni ipi bora kwako katika kuishi na waja kati ya haya

1. Kua busy na maisha yako bila kujali ya wengine, unachoshiriki ni misiba nasherehe ambazo utakua unaalikwa

2. Kujipendekeza sio kwa ubaya mfano jambo halikuhusu lakini unaona una uwezo wa kulifanya na likawa ukafanya.

3. Wewe ni mama / baba huruma yan kama mshumaa kufaidisha wengine wewe unateketea kuelekea mwaka mpya kipi unaona ni sahihi kwako katika kuishi na walimwengu?
Fanya mambo yako Kwa msukumo was ndani yaani internal motivation!

Usiangalie wengine watakuonaje,Kila mtu ana mapungufu yake kwenye maisha!

Siku ya shida msaada anao mungu pekee hakuna Binadamu unaweza ku m akaunti atakuwa msaada kwako,unao kunywa nao bia ndio hao hao kutosa wakati was uhitaji!!

Wewe saidia pale unapoona halafu usitarajie chochote Toka Kwa mtu,just be free man!!!

EXPERIENCE

Niliwahi saidia mtu na wake zake wawili wakanikopa na Hela,walitoroka kimya kimya usiku was manane wakaenda,nilimsaidia mama mmoja mtoto wake alikua Hana pa kuishi wakati anasoma yule mama nilimuamuamini nikampa kama laki moja akasimamie ishu fulani Hadi Leo sioni Hela na mtoto keshamaliza shule!

Mifano ninayo mingi sana!!

Omba mungu tu ndio msaada mkuu!!
 
best kuna umuhim wake kuishi na watu vizur inawezekana kwenu ni mbali kabisa lakini ukapata tatizo jirani yako akawa wa kwanza kukustiri kuliko ndugu yako
Kufuata maisha yako na kutii sheria za nchi , inatosha kabisa kuishi na watu vizuri ,kwa sababu hautakua mzgo kwa mwingne kwa namna yoyote ile.
 
Mimi ni team namba 1 maisha yangu yote.
Mimi na mambo yangu tu.

Ukitokea msiba nipo mbele katika kushiriki kwa hali zote, shughuli kwakweli ni za ndugu tu au marafiki wa karibu sana maana sina mashoga wala vikundi vya kutunzana sijui nini.

Naweza kukaa hadi miaka 3/4-5 sijahudhuria shughuli yoyote!
 
Maisha mazuri huanza baada ya kujitambua

1. Jitambue kwamba hapa duniani upo peke yako na ukifa utakufa peke yako hakutakua na mabadiliko yoyote kwenye jamii

2. Jitahidi kuwa na afya njema, thaman ya binadamu mwenye afya nzuri ni tofauti na asiye na afya

3. Huhitaji mtu Ili kuishi Kwa furaha, furaha tayari imo ndani Yako kwaiyo hapo Kaz ni kwako kuiruhusu ama kuizuia

4. Dunia ni gereza kubwa na ndani yake Kuna magereza madogo madogo(uchumi,mapenzi,kielimu, kisiasa,na kiutawala,na lakijamii kama segerea,keko), kazi kwako uepuke gereza gani

5. Lazima uwe na Imani juu ya jambo Fulani( Kuna mungu au hakuna mungu), Imani ndio inabeba mfumo wa maisha Yako

Siku ukifa tutahuzunika ila hatutohuzunika milele Bali tutatafuta mbadala wako Tena aliye Bora zaidi kukushinda wewe
 
kuna SISI ambao mishe zetu zinahitaji uishi na kila aina ya watu ili upate ramani, ila kuna WAO ambao majambo yao hukamilika hata bila watu wa nje kuhusika.
Speaking of SISI, kujichanganya na raia ndo kila kitu, kikubwaaaaa ni kuelewa ww ni nani na unataka nini kwao.
sawa nimekuelewa
 
Fanya mambo yako Kwa msukumo was ndani yaani internal motivation!

Usiangalie wengine watakuonaje,Kila mtu ana mapungufu yake kwenye maisha!

Siku ya shida msaada anao mungu pekee hakuna Binadamu unaweza ku m akaunti atakuwa msaada kwako,unao kunywa nao bia ndio hao hao kutosa wakati was uhitaji!!

Wewe saidia pale unapoona halafu usitarajie chochote Toka Kwa mtu,just be free man!!!

EXPERIENCE

Niliwahi saidia mtu na wake zake wawili wakanikopa na Hela,walitoroka kimya kimya usiku was manane wakaenda,nilimsaidia mama mmoja mtoto wake alikua Hana pa kuishi wakati anasoma yule mama nilimuamuamini nikampa kama laki moja akasimamie ishu fulani Hadi Leo sioni Hela na mtoto keshamaliza shule!

Mifano ninayo mingi sana!!

Omba mungu tu ndio msaada mkuu!!
kitu kinachonikera ni hupati the same energy unaitoa kwa watu kias naona whats the point ya kuwapa wao hio energy bas mwisho wa siku nawavalia tu
 
Mimi ni team namba 1 maisha yangu yote.
Mimi na mambo yangu tu.

Ukitokea msiba nipo mbele katika kushiriki kwa hali zote, shughuli kwakweli ni za ndugu tu au marafiki wa karibu sana maana sina mashoga wala vikundi vya kutunzana sijui nini.

Naweza kukaa hadi miaka 3/4-5 sijahudhuria shughuli yoyote!
kuna sehem nilikuta wanawake wamji huo ukialikwa shughuli sare lazima ukate haijalishi utadanga uipate utaiba utakopa lakin wanachojali ni sare usipovaa wanakutenga kuja kuangalia life style yao s mchezo kila mtu ana maisha yake wao wanapenda sana kutembelewa, kusaidiwa,mikono ni mirefu kupokea vya watu wao vya kwao hawana muda wa kutoa hata msaada mdogo utasaidiwa kisha utasemwa binafs nikajisemea sasa hawa watu ili uende nao sawa ni wewe kuishi maisha yako yan first priority ni wewe second ni wewe third ni weww then wao wafatie tena kwa kuchagua mnoo
 
Maisha mazuri huanza baada ya kujitambua

1. Jitambue kwamba hapa duniani upo peke yako na ukifa utakufa peke yako hakutakua na mabadiliko yoyote kwenye jamii

2. Jitahidi kuwa na afya njema, thaman ya binadamu mwenye afya nzuri ni tofauti na asiye na afya

3. Huhitaji mtu Ili kuishi Kwa furaha, furaha tayari imo ndani Yako kwaiyo hapo Kaz ni kwako kuiruhusu ama kuizuia

4. Dunia ni gereza kubwa na ndani yake Kuna magereza madogo madogo(uchumi,mapenzi,kielimu, kisiasa,na kiutawala,na lakijamii kama segerea,keko), kazi kwako uepuke gereza gani

5. Lazima uwe na Imani juu ya jambo Fulani( Kuna mungu au hakuna mungu), Imani ndio inabeba mfumo wa maisha Yako

Siku ukifa tutahuzunika ila hatutohuzunika milele Bali tutatafuta mbadala wako Tena aliye Bora zaidi kukushinda wewe
umeongea point san
 
Watu no opportunists!hakuna mwenye moyo was dhati was wewe uwe na kicheko!

Hata ndugu hawataki kuona mwenzao mambo safi!watakuharibia tu,kivyovyote vile!!
kwa hio bora tu uishi kivyako ever since nimekuabnaifata hii kanuni najiona ninaishi kwa aman yani habar za mtu hazinihusu zangu ndio za msingi sasa kuna mtu anasema haya sio maisha
 
kuna sehem nilikuta wanawake wamji huo ukialikwa shughuli sare lazima ukate haijalishi utadanga uipate utaiba utakopa lakin wanachojali ni sare usipovaa wanakutenga kuja kuangalia life style yao s mchezo kila mtu ana maisha yake wao wanapenda sana kutembelewa, kusaidiwa,mikono ni mirefu kupokea vya watu wao vya kwao hawana muda wa kutoa hata msaada mdogo utasaidiwa kisha utasemwa binafs nikajisemea sasa hawa watu ili uende nao sawa ni wewe kuishi maisha yako yan first priority ni wewe second ni wewe third ni weww then wao wafatie tena kwa kuchagua mnoo
Mimi unaweza kupita mwezi na zaidi sijaonana na majirani kabisa. Kazini na nyumbani kwangu ndani basi, sitoki wala sina story na mtu.
Likitokea jambo la kushiriki sawa, tena yale ya kiubinadamu sio hayo mambo ya shughuli za kiswahili.
 
Back
Top Bottom