Ni namna ipi bora kwako kuishi na watu?

Mama Mwana

JF-Expert Member
Jun 6, 2023
1,860
6,186
Ni ipi bora kwako katika kuishi na waja kati ya haya

1. Kua busy na maisha yako bila kujali ya wengine, unachoshiriki ni misiba nasherehe ambazo utakua unaalikwa

2. Kujipendekeza sio kwa ubaya mfano jambo halikuhusu lakini unaona una uwezo wa kulifanya na likawa ukafanya.

3. Wewe ni mama / baba huruma yan kama mshumaa kufaidisha wengine wewe unateketea kuelekea mwaka mpya kipi unaona ni sahihi kwako katika kuishi na walimwengu?
 
1. kua busy na maisha yako bila kujali ya wengine,unachoshiriki ni misiba nasherehe ambazo utakua unaalikwa

2. kujipendekeza sio kwa ubaya mfano jambo halikuhusu lakini unaona una uwezo wa kulifanya na likawa ukafanya

3. wewe ni mama / baba huruma yan kama mshumaa kufaidisha wengine wewe unateketea

kuelekea mwaka mpya kipi unaona ni sahihi kwako katika kuishi na walimwengu?
Kuwa na balance katika yote ndio Bora zaidi
 
Binafsi huwa naamini mafanikio ni watu. Ni vyema kuwa nao karibu, muhimu ni kujua wewe ni nani, na unafanya nini. Watumie kama ngazi. Jichanganye nao. Usisahau ww n nani.
hapo kwenye kujichanganya tuseme unaikuta mostly wewe ndio unatumika sana like kusalimia mtu hasa unapojua n mgonjwa ila ww ukiumwa nakuhakikishia utaumwa had utapona hakuna mtu anakuja kukuulizia,
 
Ni kweli, katika watu kumi utakaojichanganya nao huez kosa wawili watakaokufaa. Hii itakuwa bora kuliko kujikeep busy mwenyewe coz kuna vitu utakosa.
 
Ni ipi bora kwako katika kuishi na waja kati ya haya

1. Kua busy na maisha yako bila kujali ya wengine, unachoshiriki ni misiba nasherehe ambazo utakua unaalikwa

2. Kujipendekeza sio kwa ubaya mfano jambo halikuhusu lakini unaona una uwezo wa kulifanya na likawa ukafanya.

3. Wewe ni mama / baba huruma yan kama mshumaa kufaidisha wengine wewe unateketea kuelekea mwaka mpya kipi unaona ni sahihi kwako katika kuishi na walimwengu?
Soma Qur'an imetufundisha namna ya kuishi na watu.

Asikudanganye mtu kuwa Qur'an ni kwa ajili ya Waislam tu, Qur'an ni kwa walimwengu wote.

Mwongozo wa maisha kamili hautaupata nje ya Qur'an.
 
Soma Qur';an imetufundisha namna ya kuishi na wayu.

Asikudanganye mtu kuwa Qur'an ni kwa ajili ya Waislam tu, Qur'an ni kwa walimwengu wote.

Mwongozo wa maisha kamili hautaupata nje ya Qur'an.
shea hapa namna ya kuishi na watu na hio aya iliyitajwa katika Quran sio wote tumeisoma na tunaijua kwa manufaa ya sisi tusiojua
 
Back
Top Bottom