Ni Mzukaaaaaa Au??????

Ni Mzukaaaaaa Au??????

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Wasanii wa Pah One, Watanzania wenye maskani yao Afrika Kusini wakifanya vitu vyao​
shooyadiamondDarLive11.jpg
 
Mhhh mzuka wa kuacha makalio nje hivyo
Hapo hakuna cha mzuka ni ukichaa tuu
 
Amavubi nafikiri hapa Boflo anaweza kutujibu hili swali vizuri .... Bofloooooooooooooooooooooo ooooooooooooooooooo!
 
Last edited by a moderator:
mzuka ukipanda anateremsha suruali.
Mzuka ukipanda zaidi anavua suruali.
Mzuka uki-peak sijui nini kitafata.

Hawa vijana wa dot kom sijui wanatumia nini kufikiria.
No reasoning at all, the only answer watakwambia 'fashion'.
Mh!
 
Back
Top Bottom