Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Ndugu zangu kwa mwenendo huu, bila shaka hata viongozi waandamizi wa ccm lazima wanakiri mioyoni mwao kwamba chadema ni moto wa nyika usiozimwa kirahisi. Ni vigumu kukiri hadharani lakini ukweli ni mioyo ya akina Kikwete, Mukama, Chiligati, Nape, n.k lazima iwe inadunda kama ngoma ya mdundiko kwa kiwewe cha kupokonywa dola ifikapo 2015.
Faizafox mbona umemsahau!!Labda mwita25 mana ana roho ngumu kama gaidi.
Ndugu zangu kwa mwenendo huu, bila shaka hata viongozi waandamizi wa ccm lazima wanakiri mioyoni mwao kwamba chadema ni moto wa nyika usiozimwa kirahisi. Ni vigumu kukiri hadharani lakini ukweli ni kuwa mioyo ya akina Kikwete, Mukama, Chiligati, Nape, n.k lazima iwe inadunda kama ngoma ya mdundiko kwa kiwewe cha kupokonywa dola ifikapo 2015.
mlienda igunga kugombea nafasi ya pili au ya kwanza? nawashangaa kujipongeza kwa kukosa ubunge,heri yako NCCR walijua moto wa ccm.
Mungu akusamehe kwani hujui ulionalo,ulisikialo wala ulihisiloChadema si tishio kwa CCM, ni chama cha msimu hakitusumbui wala hata kukiwaza.