Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,369
- 8,072
katika viongozi wote walioingoza Tanzania ni Mwalimu Julias K Nyerere tu aliyeweza kualikwa kufanya state visit pale UK. Ifahamike pale United Kingdom state visit ni mualiko unaotolewa na malkia wa UK kwa mkuu wa nchi nyingine. hawa akina mirkel, akina netanyau, akina shinzo abe hawana hadhi ya kufanya state visit UK wala kudhuru kasri la malkia.