Ni Mungu au?

Miaka 17 iliyopita hakukuwa na whatsapp wala facebook
 
Picha tafadhali.
 
Picha aisee
 
Its ok.Bt nia yangu haikuwa kuionyesha jamii km mm ni mkwel au la.dhima ni kupeana elimu au ufafanuzi wa mada husika.sasa kwanini niongope kwa sala ambalo halinipi faida yoyote.Km unaona naongopa au natangaza dini its ok....
unatangaza dini kwa kusema uongo!

usijifiche katika kichaka cha dini wakati unadanganya watu wenye akili zao timamu.

Tuambie hiyo whatsaap iliyokuwepo miaka 17 iliyopita mlikuwa nayo nyie peke yenu kwenye hiyo wilaya yenu au ilikuwepo dunia nzima ?

Dini inayoenezwa kwa uongo ni ya shetani, Dini ya Mungu inaelezwa na ukweli.

Sasa wewe tushakukamata hapa ni Muongo
 
Mi mwenyewe nimemshtukia hapo tu kwenye WhatsApp kuwepo miaka 17 iliyopita....Dini inayotangazwa kwa uongo na yenyewe ni ya uongo.
 
Bhasi tupe wewe hiyo picha
 
Ungeongeza kidogo nyama aya ya sura gani? Na picha ukiweka itakuwa vizuri
 
Je, hao wapishi wote wana imani moja, na je hizo familia zilizohusika zipo kwenye imani moja?

Hapo umeongelea imani...
Kwa hiyo anza na imani yenu kwanza. Suala la Mungu ni kwamba yupo kazini muda wote hata hapa ninapoandika ni Mungu lakini kinachotawala na kuongoza mtizamo wangu ni imani, tabia, uzoefu wa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…