Mucho Hunter
Member
- Apr 27, 2022
- 8
- 7
Naomba nisaidiwe mawazo ktk hili.Miaka ya nyama katika nyumba ninayoishi lilipata kutokea tukio.
Ilikuwa ni usiku wa mwisho wa mwezi ramadhan,Dada yangu ambaye ndiye mpishi wetu wa miaka yote huwa halali siku hii.Badia,kachori na mapochopocho kibao ya chai huwa anayaandaa usiku huu.
Sasa bhanaa mida flani ya Alfajiri akiwa anakata keki akashangaa kuona keki yenyewe imejichora mstari 'zigzag'(Kwa kawaida keki ambazo huwa anazipika zinakuwa na mstari katikati ambao umenyooka).
Alihisi labda atakuwa amekosea kuipika ile keki so akaiweka pembeni then akachukua keki nyingine,alipoanza kuikata nayo ikawa ni yale yale zigzag.Na ya tatu pia,ya nne,tano,sita.Zote zip vile vile,akapagawa.
Tayari kulikuwa kumeshapambazuka na kwa maelezo yake alisema sms ya WhatsApp toka kwenye moja ya group wapishi wenzie iliingia na akaona tukio linalofanana na yeye,ila mwenzie alikuwa na maelezo ya kile ambacho kimetokea.
Zile keki zote zilikuwa zimejichora aya za quran. Sister chuo alikimbia so hakuna alichoambua,Ikabidi aamshe watu kuwaelezea.Mimi nikiwa mmoja wa hao walioamka kushuhudia hayo maajabu.
Alikuwepo cousin wangu mmoja ambaye alikuwa ameifadhi juzuu 30 kichwani so yeye ndiye aliyeyasoma yale maandishi then asubuh ileile alitafutwa mpiga picha then akazipiga picha zile keki kabla ya kukatwa vipande.
Halikuwa tukio la nyumba moja.Picha zilikuwa ni nyingi siku hii hasa kuzingatia WhatsApp ndio ilikuwa inashika chat yake.so kila keki ilikuwa ina aya tofauti.Cha kushangaza ilitokea katika wilaya yetu tu.
Km isingelitokea nyumbani kwetu ingekuwa ngumu kuniaminisha juu ya lile tukio.
Sasa hapo ndipo napoitaji mawazo yenu ndugu zangu wote wenye kuamini na hata wale wasioamini juu ya uwepo wa mungu.JE,Nini kile ambacho kilitokea?
Wapishi wote waliboronga?..Au ni MUNGU?,Na kama ni MUNGU kwann atumie aya za Quran??