Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Venue zinazotumiwa na VITASA ni mbovu mno kuna mda unajiuliza hii itaendelea mpaka lini
Fahamu watanzania wengi sana wanapenda haya mashindano ya ngumi ila venue zake ni mbovu sana ziko local, na hazivutii kabisa watu wanapigania vichochoroni
KATIKA MAMBO NTAKAYOYAFANYA NI KUHAKIKISHA KUNAJENGWA ARENA YA WATU ELFU 18 AMBAYO ITAKUA INAFANYIKA EVENTS NYINGI MOJA WAPO NI VITASA
Jambo la kufahamu mashindano ya VITASA yame ajiri watu wengi na yanaweza ajiri watu wengi sana direct na indirect na pia tunaweza kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha mashindano ya boxing msisitizo ni kujenga Arena nyingi ili mashindano yawe yanafanyikia kwenye mazingira mazuri na ya kisasa na sio kwenye haya mazingira yaliyopo
Mashindano ya VITASA yanaweza yakaitangaza sana nchi kama kukiwa na uwekezaji mkubwa sasa hivi hayana uwekezaji ndo changamoto kubwa inayoyakabili haya mashindano
www.jamiiforums.com

Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...