Ni Muhimu kuentertain mume wako

Ni Muhimu kuentertain mume wako

nini? Utafanya hvyo mara ngapi ? Si utumwa huu! wanaume hawaridhiki hata umkalie uchi saba mara sabini!

Duh saba mara sabini!!Inawezekana wakawa ni wanaume wengi sana wenye tabia hizo lakini sio wote!!
 
Habari wadada wa MMU? Kwanza kabisa niwape hongera kwa kuolewa, ukitaka kujua thamani ya mumeo angalia wadada walio single kwenye age ya kuolewa, wanavyotamani na kumuomba Mungu usiku na mchana wapate mume. Ni kweli kwenye ndoa kuna changamoto nyingi hasa ukipta mume asiyejua wajibu wake, au tu anajua but hapendi kufanya kama ambavyo, anapaswa. Ni vema kukumbuka pia kuwa kuna mambo mengine yanatokea kwasababu tu ya tofauti tulizo nazo. Pamoja na hayo yetu, wadada/wamama wenzangu naomba niwatie moyo kuwa ni vema kubembeleza mume, kumpa mahitaji ya kihisia na vihuduma vidogovidogo, inapendezesha sana ndoa. Baba anaporudi, mkaribishe kwa tabasamu, inamsaidia kupunguza mastress aliyoshinda nayo mchana, mpe kitu cha kunwa au kula preferably matunda inasaidia kuandaa tumbo lake kabla hajala, na kumuongea kinga kwa ile huduma yetu special. Kisha jitahidi sana chakula umpe wewe usiruhusu mdada wa kazi ampe kama upo, inaongeza care(hata kama hukukipika wewe), wanaume wanapenda sana kujaliwa. Pia kama una watoto jitahidi waone unavyomhudumia baba yao, inamuongezea sana heshima na mwisho naomba wanawake wenzangu kupunguza midomo ( kwa wale wanaopenda kupig makelele (iwe kwa watoto, msichana au mumeo mwenyewe), wanaume wanapenda kukaa sehemu ya nyumba ni penye utulivu. mbarikiwe

Una muda gani katika ndoa??? Unawajua wanaume wewe??? hivi unafikiri wote wanaofanya madudu katika ndoa hawafanyiwi hayo uliyoandika na zaidi? Ndoa ni zaidi ya unavyoifikiri
 
ushaur mzur ila naomba niulize je mamanae hachok hawez ametoka kazin na stress pia au sie miili yetu ya chuma

Well said! Nadhani ile ipo applicable zaidi kwa wanawake magoal keeper! Kama mwanamke anafanya kazi, tena anachelewa kurudi, pengine mume ndie anafika kabla yake, hayo mambo ni magumu sana kutekelezeka! Manake nae amechoka, stress za kazi vilevile, so na yeye cjui ahudumiwe na nani hapo!
Mwanamme mwenye mapenzi na utashi atasaidiana na mkewe hata kwa vishughuli vidogovidogo vya nyumbani muda wanapokuwa wote wametoka kazini na wote wamechoka
Asiwe kama mfalme na mtumwa, kwamba yeye amechoka, mwanamke ndiye hajachoka!
Anaweza asipike, lakini abebe mtoto wakati mama anapika, yaani huo ni upendo wa hali ya juu.
Anaweza kuwasha pengine taa za nje, kuwekea watoto net, kusimamia homework nk.
Wanaume wengi wakirudi nyumbani wao hukaa kama wageni kweny hotel wakisubiri kuhudumiwa!
Wengine mtasema huo ni wajibu wa mwanamke! Sawa ckatai! Na nyie wajibu wenu wa kutafuta hela na kuprovide kwny familia zenu mbona wengi wenu mnashindwa inabidi mke afanye kazi au shughuli yeyote ili nae achangie?
Mkilielewa hili nadhani ndoa nyng zitadumu au kutokuwa na malalamiko!
 
haahaha! Just mtazamo tuu!

Nimekupata la msingi ni kujua wanaume wote si sawa, wengine hawataki mbwembwe nyingi wao wanajua kukandamiza tu anageuka upande wa pili mwanawane, wengine ndo wanadeka utafikiri mtoto mdogo cha msingi kila watu wachague maisha wanayotaka na mmewe kamwe ndoa haziwezi kufanana.
 
Nawe fanya homework yako,compose uzi wa kutukumbusha vidume tukirudi home nini tuwafanyie wapendwa wake zetu ili nawe uoneshe mfumo jike!!!!
Hata mkikumbushwa mnafanya? Nyie wa kupokea tu tena mnajiona mna haki zaidi.
Wake zenu wanafanya hayo na zaidi lakini walaaa hata shukran hamna! Baraka ya kuwaumiza tu.
 
kwahiyo akae hapo had saangap

Wewe ndio wale wale mnaovamia topic. Hapa tunaongelea entertainment ya mume kutoka kwa mke. Mi nimeshuhudia hilo kwa wazazi wetu na mahusiano yamedumu. Hata familia zenye mashiko hawezi kuondoka wote mezani na kumuacha baba peke yake, je akihitaji kupewa kitu amwambie nani? Wewe kalaga bao tu.. Ndoa yenye furaha na maelewano utaishia kuisikia kwa wenzio tu.
 
hilo nalo neno "kungwi" uliye komaaa. hakika hata kuchukia husababishwa na vitu vidogo vidog na kupenda na zaidi nako huchangiwa na vitu vidogo vidogo kama hivyo sio mwanaume unarudi ndani ya nyumba mwara mke mdomo :laser: si utaogopa :fencing:hata kula chakula chake au kuoga maji aliyokuwekea ukidhani kaweka tindikali.
 
mhhh jamani wnaume mhh kwani sisi hatustahili kufanyiwa hivyo yaani mimi ndio nafanyiwa hivyo sio kwa mwanaume tu ili ndoa idumu au sie sio watu hahaah jamani
 
sasa unakuta mkeo amekuandalia msosi saaaafi hapo dining halafu huyooo anaondoka,anaenda kutizama TV. Hapo dining huna hata wa kuongea nae. Hata kama ulikuwa unakula nae akishamaliza huyooooo kaondoka! Hii ni tabia mbaya isiyopendeza.

ni kweli Kinyoba, mume akila shurti ukae hapo pembeni unampigisha story.
 
Well said! Nadhani ile ipo applicable zaidi kwa wanawake magoal keeper! Kama mwanamke anafanya kazi, tena anachelewa kurudi, pengine mume ndie anafika kabla yake, hayo mambo ni magumu sana kutekelezeka! Manake nae amechoka, stress za kazi vilevile, so na yeye cjui ahudumiwe na nani hapo!
Mwanamme mwenye mapenzi na utashi atasaidiana na mkewe hata kwa vishughuli vidogovidogo vya nyumbani muda wanapokuwa wote wametoka kazini na wote wamechoka
Asiwe kama mfalme na mtumwa, kwamba yeye amechoka, mwanamke ndiye hajachoka!
Anaweza asipike, lakini abebe mtoto wakati mama anapika, yaani huo ni upendo wa hali ya juu.
Anaweza kuwasha pengine taa za nje, kuwekea watoto net, kusimamia homework nk.
Wanaume wengi wakirudi nyumbani wao hukaa kama wageni kweny hotel wakisubiri kuhudumiwa!
Wengine mtasema huo ni wajibu wa mwanamke! Sawa ckatai! Na nyie wajibu wenu wa kutafuta hela na kuprovide kwny familia zenu mbona wengi wenu mnashindwa inabidi mke afanye kazi au shughuli yeyote ili nae achangie?
Mkilielewa hili nadhani ndoa nyng zitadumu au kutokuwa na malalamiko!

Kibibi Jongo, big mistake! jitahidi sana stress za ulikotoka usihamishie nyumbani. Ajira yako haina uhusiano wa mojamoja na ndoa yako. jitahidi hata kama una kazi involving upate muda wa kuattende mume wako, kama unazidiwa na kazi muombe msichana akusaidie anazoweza, ila usisingizie kazi.
 
Una muda gani katika ndoa??? Unawajua wanaume wewe??? hivi unafikiri wote wanaofanya madudu katika ndoa hawafanyiwi hayo uliyoandika na zaidi? Ndoa ni zaidi ya unavyoifikiri

hakuna nilipoandika kuwa ukifanya hivyo ndoa yako au mume wako atakuwaje. Huwezi kuacha kufanya wajibu wako kwasababu ya matokeo usiyajua. mtu kutoka nje ni dhambi yake, kwa nini wewe uache kutenda mema au wajibu wako kwa kukosa kwake ustaarabu?
 
Wewe ndio wale wale mnaovamia topic. Hapa tunaongelea entertainment ya mume kutoka kwa mke. Mi nimeshuhudia hilo kwa wazazi wetu na mahusiano yamedumu. Hata familia zenye mashiko hawezi kuondoka wote mezani na kumuacha baba peke yake, je akihitaji kupewa kitu amwambie nani? Wewe kalaga bao tu.. Ndoa yenye furaha na maelewano utaishia kuisikia kwa wenzio tu.

We kichwa panzi, aliyekuwambia furaha ya ndoa kwa mwanamke ni kutumwatumwa nani?
Mbaya ni aghalabu sana cku hizi kusikia wanawake wakisifia ndoa zao, zaidi ya kutoa stress humu JF.
Mbaya zaidi wanandoa ndio wanaongoza kwa kusaliti ndoa zao sasaivi kuliko walio katika mahusiano ya kawaida!
Sasa hizo ndoa zenye maelewano na furaha cjui ziko Mars au wp?
 
Kibibi Jongo, big mistake! jitahidi sana stress za ulikotoka usihamishie nyumbani. Ajira yako haina uhusiano wa mojamoja na ndoa yako. jitahidi hata kama una kazi involving upate muda wa kuattende mume wako, kama unazidiwa na kazi muombe msichana akusaidie anazoweza, ila usisingizie kazi.

Ina maana anayeruhusiwa kurudi na stress nyumbani ni mwanamme peke yake sio?
Unarudi kulekule what if hana hsegal wa kukusaidia je? Again wanaume wengi hawataki kupikiwa na hsegal au kutandikiwa kitanda au kufuliwa au hata kupokewa mizigo akitoka kazini!
Nimeeleza kusaidiana kazi baada ya kutoka job! Hsegal, ndiye asaidie watoto kufanya hmwork! Hsegal ndiye abebe mtoto wakati napika baba amekaa hajigusi km mgeni kwny Nyumba yake!
It goes both ways, tuhudumiane, tusaidiane! Hakuna mfalme wala mtumwa kwny ndoa!
Nitampikia, nitamuwekea chakula na kumpetpet lakini naye atimize wajibu wake! Na cku nikishindwa kwa sabb ya kazi au ugonjwa aelewe na c kutafuta Nyumba ndogo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom