hata walio single pia wana raha zao ....ndoa ni wito na uamuzi kama maamuzi mengine sio bahati...so mapadre hawana bahati si waliamua wenyewe toka wapo wadogo...hamna shida Smile ndivyo Mungu alivyotofautisha ufikiri wetu!asante kwa kuusoma upuuzi wangu anyway!nakugeuzia na shavu la pili! na hata kama hutakubali ndoa za hivyo zina furaha kuliko za kushindana!
ni kweli, waume nao wanpofanyiwa hivi wajifunze kuappreciate!na kuongeza mapenzi kwa wake zao.
Nimewaona wengi sana,mwingine huyu hapa katoka kula sasa hivi
na amesema kashiba mbaya ila hapa namuona anaenda kula tena!!!!!
namsamehe! kama hajui kuwa kuolewa ni jambo la kupewa hongera, si wa kubishana naye! huwezi thamani ya kiyu mpaka ukikipoteza.
hahaaaa hili aliloliacha nalo muhimu sana,itabidi aliongezee hapo juu
Kwanza huwezi kujua mtu kashiba,huo ni ukweli
Sasa huyo umejuaje kama kashiba?
Halafu umejuaje kama anaenda kula?
ni kweli kabisa. but hata usipofanyiwa kufanya inakupa afya njema!isiwe ONE WAY,both sides zihusike!!!!!!!
isiwe ONE WAY,both sides zihusike!!!!!!!
ahahaaaa acha uchochezi
hiyo line ya kwanza nimekuona huna akili kabisa.....upuuzi mtupu
Leo tunaongelea ninyi wamama, sisi mtatudiskasi kesho
Watakuelewa kweli hawa????
ujumbe umeshiba,umeongea ukweli cha msingi wake zetu wasome na kuyaishi uliyonena hapa,mungu akubariki.
Eiyer, akibadilika mmoja wangu ni mafanikio makubwa saaaaaaaaaaaaaaaana! naye atabadilisha wengine, itakuwa chain mwisho tubadilika wote!
asante sana watu8 kwa kuongezea, ni vema mke ukakicrate mazingira, ukishaoga vaa kikanga chepesi, fanya kama unanyoosha nyoosha shuka, au unaangalia uvunguni, inampunguzia baba uchovu!
Ulishawahi kuona mtu alieshiba anatamani kula tena???
I tell u wahat
Ni jambi gumu sana kubadilika kwa aina hii
Ngoja wenzako waje halafu utajua mimi niaongea nini!!!!