Ni Muhimu kuentertain mume wako

Ni Muhimu kuentertain mume wako

Heaven on Earth ni kweli mimi siamini katika tendo la ndoa kabla ya ndoa. na nyumba ndogo nazipiga vita sana.Mungu amuepushe nazo mume wangu!

tena uombe hasa na kunena kwa lugha la sivyo hizo juice zako,kanga moja kuchungulia mauvunguni kumbinukia n.knk! Vitapigwa teke kuleeeeeh! Juice itachacha hiyo! Utaanza kuvaa vijeans mwenyewe atakapoanza visimall house loh! Endelea kupga maombi!
 
wanaume hawaridhiki hata umkalie uchi saba mara sabini!

Tema mate pembeni lol...

Hujampata mwenye kuitumia hiyo vere preshazi opotyuniti...unkalie uchi nnkutizame tu!!!
 
mbona wa kina dada wanajitahidi kuwa handle wa ume zao lakini wanaume sometimes ndiyo mgogoro mara kaja mtungi uko kichwani mataelewana kweli?. nafikiri wapendanao wowote wana style yao ya kuishi ambayo kwa mngine anaweza ona kama ni janga

yaah! Umeongea!
 
Tema mate pembeni lol...

Hujampata mwenye kuitumia hiyo vere preshazi opotyuniti...unkalie uchi kutizame tu!!!

haahaa umetisha! Ujue nyie sijui niwaweke fungu gani miye loh ngoja nsiseme mana dah! Ntapewa ya uso hapa!
 
Umesema vyema sana....Lakini hawa viumbe....Ndo maana sisi bado tupo tupo sanaa...
 
Habari wadada wa MMU? Kwanza kabisa niwape hongera kwa kuolewa, ukitaka kujua thamani ya mumeo angalia wadada walio single kwenye age ya kuolewa, wanavyotamani na kumuomba Mungu usiku na mchana wapate mume. Ni kweli kwenye ndoa kuna changamoto nyingi hasa ukipta mume asiyejua wajibu wake, au tu anajua but hapendi kufanya kama ambavyo, anapaswa. Ni vema kukumbuka pia kuwa kuna mambo mengine yanatokea kwasababu tu ya tofauti tulizo nazo. Pamoja na hayo yetu, wadada/wamama wenzangu naomba niwatie moyo kuwa ni vema kubembeleza mume, kumpa mahitaji ya kihisia na vihuduma vidogovidogo, inapendezesha sana ndoa. Baba anaporudi, mkaribishe kwa tabasamu, inamsaidia kupunguza mastress aliyoshinda nayo mchana, mpe kitu cha kunwa au kula preferably matunda inasaidia kuandaa tumbo lake kabla hajala, na kumuongea kinga kwa ile huduma yetu special. Kisha jitahidi sana chakula umpe wewe usiruhusu mdada wa kazi ampe kama upo, inaongeza care(hata kama hukukipika wewe), wanaume wanapenda sana kujaliwa. Pia kama una watoto jitahidi waone unavyomhudumia baba yao, inamuongezea sana heshima na mwisho naomba wanawake wenzangu kupunguza midomo ( kwa wale wanaopenda kupig makelele (iwe kwa watoto, msichana au mumeo mwenyewe), wanaume wanapenda kukaa sehemu ya nyumba ni penye utulivu. mbarikiwe

sasa unakuta mkeo amekuandalia msosi saaaafi hapo dining halafu huyooo anaondoka,anaenda kutizama TV. Hapo dining huna hata wa kuongea nae. Hata kama ulikuwa unakula nae akishamaliza huyooooo kaondoka! Hii ni tabia mbaya isiyopendeza.
 
ushaur mzur ila naomba niulize je mamanae hachok hawez ametoka kazin na stress pia au sie miili yetu ya chuma
 
sijui kwanini tunataka kuona ndoa ndio kila kitu kwenye maisha, sawa ndoa ni nzuri lakini tusiifanye kama bila ndoa basi ndio mwisho wa maisha ya mtu.
umeona eeh mbaya zaidi ndoa zenyewe hazijitafsiri hivo...tunaona picha tofauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom