Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,138
Thank you.Ina maana anayeruhusiwa kurudi na stress nyumbani ni mwanamme peke yake sio? Unarudi kulekule what if hana hsegal wa kukusaidia je? Again wanaume wengi hawataki kupikiwa na hsegal au kutandikiwa kitanda au kufuliwa au hata kupokewa mizigo akitoka kazini! Nimeeleza kusaidiana kazi baada ya kutoka job! Hsegal, ndiye asaidie watoto kufanya hmwork! Hsegal ndiye abebe mtoto wakati napika baba amekaa hajigusi km mgeni kwny Nyumba yake! It goes both ways, tuhudumiane, tusaidiane! Hakuna mfalme wala mtumwa kwny ndoa! Nitampikia, nitamuwekea chakula na kumpetpet lakini naye atimize wajibu wake! Na cku nikishindwa kwa sabb ya kazi au ugonjwa aelewe na c kutafuta Nyumba ndogo!
Mwenye masikio na asikie.
CC. OLESAIDIMU
Last edited by a moderator: