Ni Muhimu kuentertain mume wako

Ni Muhimu kuentertain mume wako

sasa unakuta mkeo amekuandalia msosi saaaafi hapo dining halafu huyooo anaondoka,anaenda kutizama TV. Hapo dining huna hata wa kuongea nae. Hata kama ulikuwa unakula nae akishamaliza huyooooo kaondoka! Hii ni tabia mbaya isiyopendeza.

kwahiyo akae hapo had saangap
 
Habari wadada wa MMU? Kwanza kabisa niwape hongera kwa kuolewa, ukitaka kujua thamani ya mumeo angalia wadada walio single kwenye age ya kuolewa, wanavyotamani na kumuomba Mungu usiku na mchana wapate mume. Ni kweli kwenye ndoa kuna changamoto nyingi hasa ukipta mume asiyejua wajibu wake, au tu anajua but hapendi kufanya kama ambavyo, anapaswa. Ni vema kukumbuka pia kuwa kuna mambo mengine yanatokea kwasababu tu ya tofauti tulizo nazo. Pamoja na hayo yetu, wadada/wamama wenzangu naomba niwatie moyo kuwa ni vema kubembeleza mume, kumpa mahitaji ya kihisia na vihuduma vidogovidogo, inapendezesha sana ndoa. Baba anaporudi, mkaribishe kwa tabasamu, inamsaidia kupunguza mastress aliyoshinda nayo mchana, mpe kitu cha kunwa au kula preferably matunda inasaidia kuandaa tumbo lake kabla hajala, na kumuongea kinga kwa ile huduma yetu special. Kisha jitahidi sana chakula umpe wewe usiruhusu mdada wa kazi ampe kama upo, inaongeza care(hata kama hukukipika wewe), wanaume wanapenda sana kujaliwa. Pia kama una watoto jitahidi waone unavyomhudumia baba yao, inamuongezea sana heshima na mwisho naomba wanawake wenzangu kupunguza midomo ( kwa wale wanaopenda kupig makelele (iwe kwa watoto, msichana au mumeo mwenyewe), wanaume wanapenda kukaa sehemu ya nyumba ni penye utulivu. mbarikiwe

Na wanawake pia wanapenda kufanyiwa hivyo hivyo, usiegemee upande mmoja tuu. Mi-anaume mingine haina shukurani utafanya hayo yoote, lakini inaona kama ina-deserve hayo yoote....phewww!!
 
u knew there where know answers and yet you asked!!!!!!!!!!!

Why did you ask!!!!!!!!

Majibu yapo mengi sana!

Mimi nilikuuliza wewe

Wewe ukamjibia mtu mwingine,hapo ndipo ulipokosea

Huwezi kujua kama mtu mwingine ameshiba

Lakini unaweza kujua kuwa wewe umeshiba

Ulitakiwa uijibie nafsi yako na sio ya mtu mwingine!!!
 
Royna umepiga punda mama thanks!!!!!

Na ukitaka kujua leo umemtandika subiri mateke maana hulka ya punda ni mateke kwa mema na mabaya,ndo majaaliwa yake!!!!!
 
Ni kweli ila wanaume wengine bwana cdhani kama wanaoa mwanamke anayempenda miezi michache baada ya ndoa nyumba ndogo nje au ndio kuoa wa kukuzalia watoto ah.. mwana JF mmoja aliwahi kusema mwanaume anajua mwanamke anayempenda hata ukimfanyia nini kama hakupendi hatakupenda ngooo ni kweli wengine wanaitwa honey wanaogea maji. ya nazi lakini wapiiiii nashukuru kwa ushauri
 
huu ni mfumo dume kwan wanawake tukitoka job hatuwi na stress ,hatuchok


Nawe fanya homework yako,compose uzi wa kutukumbusha vidume tukirudi home nini tuwafanyie wapendwa wake zetu ili nawe uoneshe mfumo jike!!!!
 
Amejitahidi nini?

Kipi???????


Yapi hayo??



Kwanini tunaishi pamoja?

Kama ni kwa mtazamo wako huu kusingekua na ndoa!!!



Hujui unachoongea wewe!!!!!!

usikurupuke ndugu ! Uliza ujibiwe! Kila wanandoa wanamaisha yao tofauti na wanandoa wengine ! Jiongeze hapo!
 
usikurupuke ndugu !

Una uhakika wewe hujakurupuka?

Uliza ujibiwe!

Nimekuuliza na hujanijibu
Haya hapa maswali yangu:

Amejitahidi nini?

Kipi???????


Yapi hayo??



Kwanini tunaishi pamoja?

Kama ni kwa mtazamo wako huu kusingekua na ndoa!!!



Hujui unachoongea wewe!!!!!!

Majibu yangu yako wapi?

Mbona inaonekana wewe ndo umekurupuka?

Kila wanandoa wanamaisha yao tofauti na wanandoa wengine ! Jiongeze hapo!

Wewe ulisema kitu tofauti na hiki

Ulisema hivi:

since men and women differ in various aspects hata katika suala la mapenzi na ndoa!


Sasa hao wanandoa unaowasema walio na furaha ni wa jinsia moja?

Maana hapo umesema wapo tofauti na kwa mtazamo huu hawawezi kuwa na furaha,au kama sio maana yako hiyo ulimaanisha nini hapo?

Ndo maana nakuambia wewe ndio uliekurupuka!!!!!!!
 
eeh Mungu wanawake wote wangekua kama royna
 
Last edited by a moderator:
tena uombe hasa na kunena kwa lugha la sivyo hizo juice zako,kanga moja kuchungulia mauvunguni kumbinukia n.knk! Vitapigwa teke kuleeeeeh! Juice itachacha hiyo! Utaanza kuvaa vijeans mwenyewe atakapoanza visimall house loh! Endelea kupga maombi!

Ulishatendwa nini? au wewe ni nyumba ndogo? maana michango yako unaponda kila lililojema la kuhusiana na ndoa.
 
Hivi jaman kuna dawa ya Mwanamke anayependa shouting??
 
hamna shida Smile ndivyo Mungu alivyotofautisha ufikiri wetu!asante kwa kuusoma upuuzi wangu anyway!nakugeuzia na shavu la pili! na hata kama hutakubali ndoa za hivyo zina furaha kuliko za kushindana!
Umetoa majibu mzuri sana, na yenye staha! Niliamini ungeliweza kupaniki na kuwa mkali, you are grown up!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom