ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,050
- 61,376
Naiomba Serikali iunde mipango ya kimaendeleo kwa kutoa kipaumbele miaka mitatu mitatu kwa kila Kanda, yaani nachomaanisha Serikali iache kutumia pesa kubwa kwenye miradi isiyo na tija sana kama vile ununuaji wa ndege wasimamishe maana uchumi wa dunia unaporomoka so hata wasafiri watakuwa wachache badala yake ile pesa mfano trilioni kadhaa yote inaelekezwa kwenye ukanda na kwa kuanzia miundominu yote kwa mfano ya southern corridor inajengwa miaka mitatu kisha tunahamia labda bonde la Tanganyika Kigoma huko na mikoa ya Tabora, Katavi huko tunaelekeza pesa kubwa kujenga miundominu yote kwenye wilaya zake maji yapo kote mito na maziwa ni kuunganisha tu hata ikibidi kilimo ndio kipewe kipaumbele mbinu mpya zinawekezwa vijana wote wasio na kazi wanajengewa schemes za kujifunza.
Tunafeli wapi?
Tunafeli wapi?