mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
Mitaa mipya ya Uswahili maeneo ya Muriet na Ngalimited kwa chini kidogo kuna mitaa kibao yenye majina ya mitaa ya Dsm ,hii kasumba ya Mkoa wa Arusha inakua kwa kasi sana na kwa bahati mbaya mitaa yote yenye majina hayo ni miitaa au maeneo mapywa yanayokua kwa kasi.,kuna sehemu inaitwa masaki,ostabay,Mbezi na kadha wa kadha..
Picha inaonyesha barabara moja huko njiro yenye Jina la Barabara inayoitwa Masaki Road.
Picha inaonyesha barabara moja huko njiro yenye Jina la Barabara inayoitwa Masaki Road.