Ni muda sasa Arusha ibuni majina yake binafsi ya mitaa badala ya kuiga majina kutoka Jiji la DSM

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Mitaa mipya ya Uswahili maeneo ya Muriet na Ngalimited kwa chini kidogo kuna mitaa kibao yenye majina ya mitaa ya Dsm ,hii kasumba ya Mkoa wa Arusha inakua kwa kasi sana na kwa bahati mbaya mitaa yote yenye majina hayo ni miitaa au maeneo mapywa yanayokua kwa kasi.,kuna sehemu inaitwa masaki,ostabay,Mbezi na kadha wa kadha..

Picha inaonyesha barabara moja huko njiro yenye Jina la Barabara inayoitwa Masaki Road.
20200813_080901.jpg
 
Kwani Masaki asili yake Dar au Kisarawe?Majina mengi ya Dar ni kutoka sehemu zingine.

Ila Arusha washamba tu pia.
 
Acha waite tu si majina tu, nilienda Accra Ghana kuna Nyerere road sasa sababu Nyerere road ipo Dar huwezi kuwazua na wao kuita barabara yao Nyerere road.
 
Machalii kwa ushamba hawajambo, lakin wenyewe ushamba wao wanaona ujanja
 
Zanzibar ndio sehemu iliyochukua majina yote ya maeneo ya dar.. hadi magogoni ipo
 
Daaah itakuwa walishawahi kukupiga roba wakakusafisha mifuko yote sio kwa kuwamaindi huku machalii
Katika maisha Sijawahi kusachiwa eidha na mwizi ama polisi.
Unajua nini, machalii wanakuza sana mambo, machalii wanaweza kuisifia verosa wakaipa sifa ya mbio na uimara kuliko land cruiser, tena husifia kwa mbwembwe na ukijaribu kuwaelekeza usahihi ni wabishi hatari.
 
Back
Top Bottom