Ni muda sahihi CHADEMA na waliokuwa wanamtukana Hayati Magufuli na Ndugai juu ya wabunge 19 wa CHADEMA kuomba radhi na kutubu

Pole sana ambaye hujui kuwa vyama huwa na ratiba za vikao.

Namwunga mkono aliyesema marehemu amewaacha wehu wengi. Mlikuwa wehu akiwa hai, na mmeendelea kuwa wehu waaminifu hata baada ya kifo chake.
Ndo nini sasa? Mbowe kawaambia acheni kuwaona wenye mawazo tofauti na yenu kama wasaliti!, wewe unadhani JPM alikuwa na akil ya matope kama yako?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo napenda kuwaambia kuwa unafiki huwa haudumu watu walitumia kila aina ya uchafu kumchafua Hayati Dkt. Magufuli juu ya mambo mengi likiwemo la akina Halima Mdee kuwepo Bungeni jambo ambalo Jana Chadema wameitangazia Dunia kuwa Ndugai alikuwa Sahihi kuwaacha wabunge Waendelee kulihudumia Bunge kwa sababu...

Spika wa bunge aliyepita siku zote alipokuwa akiulizwa kuhusu akina Halima Mdee alikuwa akijibu kuwa hajataarifiwa kwa mujibu wa katiba na kwamba hatambui kuwa tayari wamefukuzwa uanachama hivyo yeye kama Spika hawezi kuwafukuza bungeni.

Chadema na baadhi ya vijana wenye chuki Kwa Serikali ya Magufuli wakaifanya kuwa ajenda na kutaka kutumia kigezo hicho kulichafua bunge.

Baada ya muda umepita leo tunayaona yale ambayo spika aliyepita alikuwa anayewaambia CHADEMA kila siku ili aweze kuwaondoa kina Mdee bungeni ameweza kuyafanya na chama kama chama Rasmi kimewafukuza uanachama jambo ambalo nyuma lilikuwa halijafanyika hivyo ukiangalia kwa umakini utagundua yapo mengi tu mabaya waliamua kuyazusha kwa mzee Magufuli ili tu kumchafua na siku zinavyozidi kwenda huenda tukajua hata waliompiga Tundu Lissu risasi.
Rubbish
 
Katika watu bwabwa wewe ni jibwabwa.
 
acha ugoro ,akili yako inaathiriwa na ugoro ndo maana unaandika pumba kama hizi
 
Wewe ndio huna Akili Kama rufaa ulikua hajasikilizwa VIP spika awafukuze? Na wakienda mahakamani wataendelea kuwa wabunge tu mpaka utaratibu huu wa kisheria ukamilike.
Kichwani umejaza mi mavi.
Hawa c waliitwa kamati kuu ya chama wakasikilize mashtaka Yao na wajitetee je walienda?
Mbowe wakati yupo mahabusu c alimuita halima na aliongea nae lakini c Bado alishupaza shingo? Na kwa taarifa yako Mr punguwan wa kichwa chadema Wala hawana shida na ubunge wao wa kimagumashi shida ni wawajibishwe iwe funzo mpaka kwa wengine.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo napenda kuwaambia kuwa unafiki huwa haudumu watu walitumia kila aina ya uchafu kumchafua Hayati Dkt. Magufuli juu ya mambo mengi likiwemo la akina Halima Mdee kuwepo Bungeni jambo ambalo Jana Chadema wameitangazia Dunia kuwa Ndugai alikuwa Sahihi kuwaacha wabunge Waendelee kulihudumia Bunge kwa sababu...

Spika wa bunge aliyepita siku zote alipokuwa akiulizwa kuhusu akina Halima Mdee alikuwa akijibu kuwa hajataarifiwa kwa mujibu wa katiba na kwamba hatambui kuwa tayari wamefukuzwa uanachama hivyo yeye kama Spika hawezi kuwafukuza bungeni.

Chadema na baadhi ya vijana wenye chuki Kwa Serikali ya Magufuli wakaifanya kuwa ajenda na kutaka kutumia kigezo hicho kulichafua bunge.

Baada ya muda umepita leo tunayaona yale ambayo spika aliyepita alikuwa anayewaambia CHADEMA kila siku ili aweze kuwaondoa kina Mdee bungeni ameweza kuyafanya na chama kama chama Rasmi kimewafukuza uanachama jambo ambalo nyuma lilikuwa halijafanyika hivyo ukiangalia kwa umakini utagundua yapo mengi tu mabaya waliamua kuyazusha kwa mzee Magufuli ili tu kumchafua na siku zinavyozidi kwenda huenda tukajua hata waliompiga Tundu Lissu risasi.
Umeandika ukiwa unaijua KATIBA YA CHADEMA au unatumia hisia zako tu..!!

Jibu swali hili rahisi sana likusaidie kupanua ufahamu wako..

Kwamba, mtu akikutwa na hatia mahakama ya chini na kisha kuhukumiwa kifungo cha jela miaka 30 na baadae kukata rufaa mahakama ya juu, hivi huwa anatolewa gerezani kwa kuwa amekata rufaa au rufaa yake husikilizwa huku akitumikia kifungo chake halali cha mahakama ya chini gerezani..?

Scenario Hii ya hukumu ya Halima Mdee na wenzake 18 ya awali mwaka 2020 iliyotolewa na chombo chao halali cha kikatiba [katiba yao - CHADEMA] yaani kamati kuu inafanana na ile ya mahakama niliyoeleza hapo juu na kwa hiyo ilikuwa halali kisheria...!

Kukata kwao rufaa kulikuwa hakujaibatilisha hukumu hiyo. Spika na Bunge hawakuwa na uhalali wowote kisheria na kikatiba kuwatambua hao kama wabunge wa CHADEMA kwa sababu walishapoteza sifa hiyo kwa kuwa chama kilichowadhamini kiliwaondolea sifa hiyo...

Ndugu kubali tu kuwa, hii ndiyo michezo ya siasa...

CCM walidhani kuwa wamewa - outsmart CHADEMA kisiasa wakasahau kuwa, CHADEMA nao wana mwanya mkubwa tu wa kisheria na kikatiba kufanya "counter attack" hatari na kuwafunga mabao ya kutosha CCM...

Walipojibu kwa njia hiyo ya kuwavua uanachama waliodhani kuwa ni kinga yao ya kufunika uhuni na ujinga wao waliofanya ktk uchaguzi mkuu wa 2020, wakashituka na ili kuendelea kuharibu, wakaanza kuinajisi katiba ya nchi na kutumia vibaya madaraka na mamlaka yao kinyume cha sheria na katiba...

Matokeo yake ni hayo. Wengine wamepoteza nafasi zao (JOB NDUGAI) na mwingine kafa kabisa (JOHN POMBE MAGUFULI). Cha ajabu wewe unataka CHADEMA waiombe msamaha "maiti" ya Magufuli iliyo na "HATIA" ndani mavumbini kaburini...!

Likely, you are crazy...
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo napenda kuwaambia kuwa unafiki huwa haudumu watu walitumia kila aina ya uchafu kumchafua Hayati Dkt. Magufuli juu ya mambo mengi likiwemo la akina Halima Mdee kuwepo Bungeni jambo ambalo Jana Chadema wameitangazia Dunia kuwa Ndugai alikuwa Sahihi kuwaacha wabunge Waendelee kulihudumia Bunge kwa sababu...

Spika wa bunge aliyepita siku zote alipokuwa akiulizwa kuhusu akina Halima Mdee alikuwa akijibu kuwa hajataarifiwa kwa mujibu wa katiba na kwamba hatambui kuwa tayari wamefukuzwa uanachama hivyo yeye kama Spika hawezi kuwafukuza bungeni.

Chadema na baadhi ya vijana wenye chuki Kwa Serikali ya Magufuli wakaifanya kuwa ajenda na kutaka kutumia kigezo hicho kulichafua bunge.

Baada ya muda umepita leo tunayaona yale ambayo spika aliyepita alikuwa anayewaambia CHADEMA kila siku ili aweze kuwaondoa kina Mdee bungeni ameweza kuyafanya na chama kama chama Rasmi kimewafukuza uanachama jambo ambalo nyuma lilikuwa halijafanyika hivyo ukiangalia kwa umakini utagundua yapo mengi tu mabaya waliamua kuyazusha kwa mzee Magufuli ili tu kumchafua na siku zinavyozidi kwenda huenda tukajua hata waliompiga Tundu Lissu risasi.
Hivi umekielewa ulichokiandika?Unatetea legasi makalio?
 
NDUGU, wewe ndio umonyesha kuwa unazo tetesi za uhakika kuhusu maswala haya NYETI. Kama umeanza kuona shaka yafaa ukakae na washirika/waliyokutuma ili muanze kutafuta plan B. Kama hili nalo huliwezi basi nenda kajipumzishe na kujitafakari ili upate nguvu ya kutubu na kumkataa shetani anaekuzungukia. AMEN.
Wewe baba yako aliuza ng'ombe wake ili akusomeshe kumbe kauza ng'ombe ili kusomesha ng'ombe ukusikia yule aliyekuwa kiongozi wa chadema alivyo sema.
 
Ndugu ni dhahiri kuwa hauna hoja wala vielelezo/ushahidi. Enenda ukatubu. AMEN
 
Back
Top Bottom