Hahahah Babu GY.........ni kweli kabisa Ndoa zilizo wazi kwetu Bado....imajini Mamsap wako ambaye wewe bado unamfeel kiama, na hujawahi au hujabahatika kufall kwa mwingine anakuja anakwambia .......Mume wangu, ni muda sasa nimekuwa na mahusiano na rafiki yako Bigirita .........?? Sijui utajisikiaje
Na kwa Teamo hebu nambie mipaka ya hizi ndoa za wazi!!.............tutaruhusiwa kukidhi mahitaji ya hao tuliowasecond?? yaani Mama G amekwambia Mume wangu nimekuwa na Mahusiano na rafikio Asprin.ila sasa tumeamua tupate mtoto...uwiiiiiiiiiiii aiseee naombeni mniagizie Viceroy hapo kwanza
Hahaha mambo mengine bora yabakie kuwa mfano tu.Hahahah Babu GY.........ni kweli kabisa Ndoa zilizo wazi kwetu Bado....imajini Mamsap wako ambaye wewe bado unamfeel kiama, na hujawahi au hujabahatika kufall kwa mwingine anakuja anakwambia .......Mume wangu, ni muda sasa nimekuwa na mahusiano na rafiki yako Bigirita .........?? Sijui utajisikiaje
Na kwa Teamo hebu nambie mipaka ya hizi ndoa za wazi!!.............tutaruhusiwa kukidhi mahitaji ya hao tuliowasecond?? yaani Mama G amekwambia Mume wangu nimekuwa na Mahusiano na rafikio Asprin.ila sasa tumeamua tupate mtoto...uwiiiiiiiiiiii aiseee naombeni mniagizie Viceroy hapo kwanza
Huo ndio msimamo wangu.
Kama waifu anaona simkojoleshi vizuri (japo ameshazaa) na aende kwa Kasibeti akamegwe lakini nisijue...... manake nikijua kuna misiba miwili inaweza kutokea.... Arudi anipe nami nichovye nimalize hamu yangu.
Hali kazalika nami ndio kama vile, na wala hajawahi kuhisi. Na maisha yanasonga mbele. Usimwambie mtu tafazali.
Yaani kwa kifupi hapo MJ1 unamaanisha mi namtafunia Teamo?
God Forbid....... Hebu edit hapo asee.
naona wapwa zangu MNAPINGA SANA open marriages....!
hahahaha
Ningependa kujua uhusiano wa kukoj...nini sijui na kuzaa but its off topic Babu Mkuu
All in all nakuunga mkono Its a Big NO. Yaani MJ1 nianze kufikiria zile sarakasi nnazopigishwa mie enda pigishwa Maty au LD ah ntalazimisha 3sum kwa kweli (japo nikodolee macho tu) ...........mmbanu
sasa kama hatutaki OPEN MARRIAGES.......!again tunasisitiza ''infidelity'' ifanyike KWA SIRI NZITO.....!SASA MBONA HATUSOMEKI SASA?i mean mimi kuna point sielewi kabisa...kwamba WHY SHOULD WE HIDE OURSELVES FROM REALITY?
Hiyo bold imekuzawadia hii hapa:Duh hapa pagumu mydia............ hapa ni pa gumu aisee.
Is it part of human nature au??!! mi sielewi kabisa
But the way it seems Teamio, ni kama vile zamani chanzo cha infidelity ilikuwa ni mwanaume (Msinipige mawe ni upuuzi tu ninaoufikiria katika kutafuta sababu) na mwanamke alipoanza kuwa na infiis ni pale alipoona kuwa why mwanaume anafanya ikichangiwa na all that craps za usawa wa kijinsia ambao kwa bahati mbaya unadaiwa hata kwa mambo yasiyo na maana.
So my take ni kuwa it is Man's nature kutokuwa na mwanamke mmoja (Babu Mkuu ataniunga mkono katika hili) so kwangu this is a reality....actually a bitter reality ambayo kwa bahati mbaya tunajaribu kuisupress under misingi ya dini na kadhalika. So not true kuwa tunarun away from the reality .... at least kwa upande wa wanaume. But kucontrol wanawake (kuturudisha katika nature yetu) wanaume mtusaidia
1. Muwe mnafanya kwa siri yaani tusijue kabisa
2. Kina mama kwa kuwa si nature yetu kuwa na wengi -kwa nini tusistick na waume zetu??
Ah hii ni viceroy ya pili Teamo .......nadhani am loosing it.
hahahahahaha!Duh hapa pagumu mydia............ hapa ni pa gumu aisee.

Mi nawashauri msiingie kabisa kwenye kitu kinaitwa marriage ili muwe free kuwa na yeyote mumtakae.
Mi nawashauri msiingie kabisa kwenye kitu kinaitwa marriage ili muwe free kuwa na yeyote mumtakae.
so far sijaona msimamo comprehensive kuhusu hii thread....
nilijifunza hapa ni KUFANYA KWA SIRI.....!kuwa wasiri sana