Ni muda gani sahihi wa kufanya mapenzi?

Ni muda gani sahihi wa kufanya mapenzi?

Bando mgogoro mdogo wangu. Ukiona nimepotea sana, unanishtukiza na vigb viwili.

Cc min -me na Half american
Kama una matumizi ya kawaida tu unanunua hata ya buku kwa airtel MB 490 wanakupa MB 500 bonus

Kama una matumizi makubwa unaunga la 3000/5000

Kama kazi zako za siku zinakutaka uwe online muda wote chukua router inayoendana na bajeti yako nzuri ni zile za unlimited
 
😳😳😳😳😳😳
 
Muda wowote ambao Chupi zimefuliwa na hazitoi uvundo,
Nashauri zifuliwe pembeni alafu ziwekwe kwenye maji ya moto ili kutoa harufu ya uvundo,
Baada tu ya kufua Conjugal ifuate holoholo
 
Kwa nini chupi itoe uvundo?ana kaswende?
 
Back
Top Bottom