Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,371
- 29,942
Okey unahtaj aseme wapi kama ambae anamwambia hafuatilii au hakupi nafas ya kukusikilza? Mangapi yamerekebishwa baada ya kumfikia yule dada wa marekan? Unafikr hawaon anachokifanya yule dada wanakitambua sana ndio maana hawaishiw matamkoMoja ya sababu za mahangaisho kwa watumishi wa umma. Mtu anaenda ripoti kwa mange matatizo ya ofisin anategemea nn kwamba rais awe anaendeshwa na mange aiseeeee labda awamu nyingine ila sio kwa mwanaume toka chato