Ni mtazamo tu

Ni mtazamo tu

Price

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
1,502
Reaction score
922
Tanzania tuna magereza mengi sana na pia wamo wafungwa wengi sana...!! ndiyo si wote wenye hatia lakini kwann kusingekuwa na mashamba humo magerezani? au hata kuwa na trainings mbalimbali... ninamaanisha magereza wanaweza wakasaidia kuongeza chakula na hata maendeleo ya nchi.. kama mtu akiwa gerezani akafundishwa labda ufundi seremala, wengine kutengeneza hata magari na hata ufugaji anapotoka anakuwa na knowledge flani ya kumsaidia yeye baadaye... na tusingekuwa watu wa kuomba msaada wa vyakula.. pangekuwa na mashamba ambayo magereza wenyewe wangekuwa wanayalima na kupanda mazao ya vyakula nafikiri ingepunguza baa la njaa... hata wangeanzisha kilimo cha mbogomboga na kuuza nafiki pia ingesaidia hata magereza kujiendesha yenyewe..mfano yapo ambayo wafungwa hawana mavazi/sare zao. ni mtazamo wangu!!!
 
...sawa! naunga mkono hoja.
 
Kesi zetu za kimjinimjini tunaishia keko na segerea.
Ukianzia moro kwenda mbele mambo ni tofauti.
Nilibahatika kuliona shamba la mahindi la gereza la Kitai - Ruvuma lilikuwa na ukubwa wa kutisha.
 
Hata hapo Moro unaposemea, magereza wanafuma vitambaa tu...
 
huo unaoita mtazamo ndio hali ilivyo labda kama unataka kingine fanya research kwenye magereza
 
Ndg mtoa hoja hujatembea
Ss tuliopata bahati tukatembea hii ndo sera ya sisi m na hali ya magereza nyingi
Yapo mashamba mengi ya mazao mfano huko kanegere bukombe, nenda shinyanga khm wanatengeza matofali ya kuchoma nenda tanga mahindi kibao
 
Ndg mtoa hoja hujatembea
Ss tuliopata bahati tukatembea hii ndo sera ya sisi m na hali ya magereza nyingi
Yapo mashamba mengi ya mazao mfano huko kanegere bukombe, nenda shinyanga khm wanatengeza matofali ya kuchoma nenda tanga mahindi kibao
Really?
 
Hata hapo Moro unaposemea, magereza wanafuma vitambaa tu...

kwa kuangalia tu bila kuwa na uzoefu wa kazi ya Bwana jela, kuna wafungwa labda kwa aina ya kesi zao wanaishia kwenye senyenge ndani ya Mkono wa mara, wengine waliobaki jembe. Kihonda mashamba ya mkonge nafikiri ya kwao.
 
Mtoa mada kwa dar kweli ni vgumu ila mikoan mirad kibao ipo ukipata nafasi jaribu kutembelea
 
Star Tv juzi niliona kuna jengo jipya linalomilikiwa na Bunge limajengwa ma wafungwa tena ni jengo la Ghorofa moja au mbili kama sikosei. Nadhani huwa wanafundishwa ufundi wa aina mbalimbali sema hilo la kujiendesha wenyewe ndiyo bado hawajafikia.
 
Back
Top Bottom