tuwaache hao wenye majini turudi zenu ndani tukawatolee sauti mpaka majini yawatoke
subiri yakugeuze.....
Ivi kuna tuzo inayo tolewa Jamiiforum kwa watu wanaopost thread za kipuuzi?
Aisee asikwambie mtu, mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha kumtoa nyoka pangoni. Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ama kumfuata na kufanya application kabisa.
Juzi kati nimefanikiwa kunasa mdada mmoja mwenye vigezo kama hivyo ni nikafanikiwa kupiga naye show ya kikubwa kunako 6x6. Aisee ni mtamu ile mbayaaaa.
Baada ya kukolea nami akataka kujenga uhusiano wa kudumu japo hata kwa mchepuko ama nyumba ndogo! Kwa jinsi hata mi nilivyokolea kwake nikamkubalia.
Kitakachofanya nimuache pamoja na vigezo vyake vizuri, ni kwamba ana majini na kaniambia yeye mwenyewe , kanitajia idadi na majina ya hayo majini hadi nikaogopa.
Yaani hapo nawaza hivi siku yakicharuka hayo madude yake japo sijui huwa yanafanyaje, si itakuwa balaa.
Aisee kwa kweli naachia ngazi huku bado nalitamani hilo dada la kibantu lilioumbika vizuri, limeenea kila idara.

ni mimi nimekumiss au wewe ndio umenimiss??? Jadili, 10 marks
Ukikimbia ndo utaipata fresh, we bora baki nae upewe mikoba kabisa
U r not safe hapo
Ingawa kuachana nae sasa ivi inaweza kuwa umewai au hata ushachelewa.....coz wat most pipo donot know ni kwamba on sex kuna bond ya hali ya juu
Kuna kuambukizina vitu spiritually....ndio maana unaweza ukawa na A mambo yako yakawa yanaenda....ukaachana na A ukawa na B mambo yako yakawa hayaendi
So kuwa makini sana.....ol da best
Moderator: Hebu anzisheni jukwaa la watoto ili maujinga yote kama huu mpeleke huko ili ile heshima ya Great thinkers irudi humu jf.Aisee asikwambie mtu, mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha kumtoa nyoka pangoni. Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ama kumfuata na kufanya application kabisa.
Juzi kati nimefanikiwa kunasa mdada mmoja mwenye vigezo kama hivyo ni nikafanikiwa kupiga naye show ya kikubwa kunako 6x6. Aisee ni mtamu ile mbayaaaa.
Baada ya kukolea nami akataka kujenga uhusiano wa kudumu japo hata kwa mchepuko ama nyumba ndogo! Kwa jinsi hata mi nilivyokolea kwake nikamkubalia.
Kitakachofanya nimuache pamoja na vigezo vyake vizuri, ni kwamba ana majini na kaniambia yeye mwenyewe , kanitajia idadi na majina ya hayo majini hadi nikaogopa.
Yaani hapo nawaza hivi siku yakicharuka hayo madude yake japo sijui huwa yanafanyaje, si itakuwa balaa.
Aisee kwa kweli naachia ngazi huku bado nalitamani hilo dada la kibantu lilioumbika vizuri, limeenea kila idara.
Moderator: Hebu anzisheni jukwaa la watoto ili maujinga yote kama huu mpeleke huko ili ile heshima ya Great thinkers irudi humu jf.
U r not safe hapo
Ingawa kuachana nae sasa ivi inaweza kuwa umewai au hata ushachelewa.....coz wat most pipo donot know ni kwamba on sex kuna bond ya hali ya juu
Kuna kuambukizina vitu spiritually....ndio maana unaweza ukawa na A mambo yako yakawa yanaenda....ukaachana na A ukawa na B mambo yako yakawa hayaendi
So kuwa makini sana.....ol da best
bora uwe nayo karibu hayo majini, kuliko kuyakimbia yatakufuatilia na utakuwa unalala nayo kila siku, na siku yanaichukua ndude yako na kuondoka nayo, ukitaka kupiga show kitu hakipo. we endelea naye tu si umeingia mwenyewe. na hiyo shepu kubwa ndio ukubwa ya majini, maana ndipo yanapokaa.