Ni mtamu, shape nzuri, lakini namuacha kwa hili

Status
Not open for further replies.
aisee asikwambie mtu, mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha kumtoa nyoka pangoni. Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ama kumfuata na kufanya application kabisa.

Juzi kati nimefanikiwa kunasa mdada mmoja mwenye vigezo kama hivyo ni nikafanikiwa kupiga naye show ya kikubwa kunako 6x6. Aisee ni mtamu ile mbayaaaa.

Baada ya kukolea nami akataka kujenga uhusiano wa kudumu japo hata kwa mchepuko ama nyumba ndogo! Kwa jinsi hata mi nilivyokolea kwake nikamkubalia.

Kitakachofanya nimuache pamoja na vigezo vyake vizuri, ni kwamba ana majini na kaniambia yeye mwenyewe , kanitajia idadi na majina ya hayo majini hadi nikaogopa.

Yaani hapo nawaza hivi siku yakicharuka hayo madude yake japo sijui huwa yanafanyaje, si itakuwa balaa.

Aisee kwa kweli naachia ngazi huku bado nalitamani hilo dada la kibantu lilioumbika vizuri, limeenea kila idara.

kitu kidogo hicho peleka kwa wasabato ama kwa gwajima majini kwisha na uoe lakini!!
 
Aisee asikwambie mtu, mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha kumtoa nyoka pangoni. Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ama kumfuata na kufanya application kabisa.

Juzi kati nimefanikiwa kunasa mdada mmoja mwenye vigezo kama hivyo ni nikafanikiwa kupiga naye show ya kikubwa kunako 6x6. Aisee ni mtamu ile mbayaaaa.

Baada ya kukolea nami akataka kujenga uhusiano wa kudumu japo hata kwa mchepuko ama nyumba ndogo! Kwa jinsi hata mi nilivyokolea kwake nikamkubalia.

Kitakachofanya nimuache pamoja na vigezo vyake vizuri, ni kwamba ana majini na kaniambia yeye mwenyewe , kanitajia idadi na majina ya hayo majini hadi nikaogopa.

Yaani hapo nawaza hivi siku yakicharuka hayo madude yake japo sijui huwa yanafanyaje, si itakuwa balaa.

Aisee kwa kweli naachia ngazi huku bado nalitamani hilo dada la kibantu lilioumbika vizuri, limeenea kila idara.

Utamu wake ndo hayo majini.... Ushakula vile
 
We nawe kila siku na matatizo ya wanawake.
" kusisya isoni"
 
Kuna close relative ana mke mwenye hayo madude, ni hatari nakwambia. Yule dada alichofanya ni kuhakikisha jamaa hajui kuwa ana hayo madude hadi walipoishi pamoja... Siku moja akapigiwa simu akiwa kazini kuwa mkewe anaumwa aje haraka, kufika home mke amepandisha na yapo mengi kiasi kwamba yakianza ni siku nzima...! Sad story lakini kwa vile jamaa ana claim anampenda, anaishi nae bila shida..!
Binafsi siyapendi wala sipendi kukaa karibu na mtu alokuwa nayo...!

Kwa nini anayafuga sasa?? Mbona yanatolewa vizuri tu
 
Kuna close relative ana mke mwenye hayo madude, ni hatari nakwambia. Yule dada alichofanya ni kuhakikisha jamaa hajui kuwa ana hayo madude hadi walipoishi pamoja... Siku moja akapigiwa simu akiwa kazini kuwa mkewe anaumwa aje haraka, kufika home mke amepandisha na yapo mengi kiasi kwamba yakianza ni siku nzima...! Sad story lakini kwa vile jamaa ana claim anampenda, anaishi nae bila shida..!
Binafsi siyapendi wala sipendi kukaa karibu na mtu alokuwa nayo...!

Anapaswa kumuombea ili yatoke,majini ni mashetani otherwise labda kama ni wa dini ilee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom