Ni mtamu, shape nzuri, lakini namuacha kwa hili

Ni mtamu, shape nzuri, lakini namuacha kwa hili

Status
Not open for further replies.
umkufa wew mjinga wew huyo mdada cyo yeye ni mapepo na ukimuacha mapepo yakutafta..so cha kukushaur hama mtaa na usikatshe mawasiliano..na zaidi yanaweza yakakuhamia wew...be care boya.
 
umkufa wew mjinga wew huyo mdada cyo yeye ni mapepo na ukimuacha mapepo yakutafta..so cha kukushaur hama mtaa na usikatshe mawasiliano..na zaidi yanaweza yakakuhamia wew...be care boya.

Sawa boya mjinga! Nimekusoma!
 
Dah! Mwanang me nakushaur bora ubaki nae mana me pia ulinitikea mtihan kama huo Lakin nilijarib kutaka kumuacha yalio nitokea cwez kuandika hapa
 
päiva;11757417 said:
Watu wengi hawalijui hili, bora umelisema. Unapojamiiana kile kitendo ni more spiritual than just physical contact. Wakati mwingine unaweza toka hapo na maroho ya ajabu ajabu.

Labda kuna ukweli nilisafiri toka mombasa kuja nairobi bahati mbaya basi letu halikuwa na kibali cha kusafiri usiku so tukalala njiani kumbe driver akavuta changudoa looh ile tunatoka saa kumi na moja alfajiri tukapata ajali dtiver ndio aliumia sana ndio nikasikia watu wanasema eehhh huko kulala na wanawake ovyo mpk mnaokota na nuksi!!!!!
 
Aisee asikwambie mtu, mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha kumtoa nyoka pangoni. Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ama kumfuata na kufanya application kabisa.

Juzi kati nimefanikiwa kunasa mdada mmoja mwenye vigezo kama hivyo ni nikafanikiwa kupiga naye show ya kikubwa kunako 6x6. Aisee ni mtamu ile mbayaaaa.

Baada ya kukolea nami akataka kujenga uhusiano wa kudumu japo hata kwa mchepuko ama nyumba ndogo! Kwa jinsi hata mi nilivyokolea kwake nikamkubalia.

Kitakachofanya nimuache pamoja na vigezo vyake vizuri, ni kwamba ana majini na kaniambia yeye mwenyewe , kanitajia idadi na majina ya hayo majini hadi nikaogopa.

Yaani hapo nawaza hivi siku yakicharuka hayo madude yake japo sijui huwa yanafanyaje, si itakuwa balaa.

Aisee kwa kweli naachia ngazi huku bado nalitamani hilo dada la kibantu lilioumbika vizuri, limeenea kila idara.

Nipe namba yake, ninayo dawa ya majini
 
Kumbe hutaki apone!! Namuongezea mengine, na mengne nayatuma kwako!! Utanitafuta tu!! Huyo haachiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom