kukuchomolea nini??
Shati? Au funguo ya gari? Au funguo ya mlango??
i am too old for this
really......???
kweli maendeleo kuja ni ngumu sana kama twaweza poteza alot for a person you aint sure if she is single
Pili inategemea wengine hayo mambo wamezoea yaani kutolewa .
Tatu kama mwelevu atashangaa ulivyopoteza hela wakati kuna watu wanazitafuta hawapati
Nne siku akikutosa utalia sana na kukumbuka ulichofanya
Tano utaonekana maonesho
etc
we unaonaje?
i am too old for this