Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,309
- 4,017
- Thread starter
- #21
Umeulizia kabila la wale watu kutokana na plot ya movie inahusisha watu ganikwani ile movie imechezwa mexico au brazil?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Umeulizia kabila la wale watu kutokana na plot ya movie inahusisha watu ganikwani ile movie imechezwa mexico au brazil?
Hahaahahah seniortwelve angry men ya 1957
sijakuelewa, ulishajib kwamba wale ni Mayans, nishakubali. nauliza tena kupata uhakika kwamba ile movie ilichezwa brazil au wapi? mana nilisikia plot yake ilikua amazon forest.Umeulizia kabila la wale watu kutokana na plot ya movie inahusisha watu gani
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
hapo namba 8 hapo dah! Kumbe nawe sio mchache.1.Merlin
2. Bel Air.. Fresh prince.. hii bado inaendelea, hata nikirudia S1 bado naiona mpya.
3. Blood and water
4. Popote alipo Anord ‘shozniga’
5. Baby’s day out
6. Hidden strike… Movie yoyote yenye ujeshi ndani yake. Ngumi za kwenda.
7. Mission Impossible: dead reckoning
8. Fifty shades of gray 🙈
Debt ya mwaka ganiSALT
DEBT
-Kaveli-
Jesus Movie(1979) hasa iliyotafsiriwa Kiswahili ..yule mtangazaji aliyetafsiri alitisha balaaKuna movies ambazo ni classic kwako. Yani hata kama moja wapo ikiwekwa sasa hivi yani wewe unaiona kama mpya machoni mwako. Hata kama ni ya miaka 50 iliyopita ila bado kwako ni timeless.
Zangu ni:
1: Predator
View attachment 2907691
2: Rambo zote
View attachment 2907694
3: Mission impossible zote
View attachment 2907698
4: Sicario part 1
View attachment 2907702
5: Batman: "Batman begins" na "The Dark Knight Rises"
View attachment 2907715
6: Inception
View attachment 2907718
7: Seven
View attachment 2907727
8: Ocean's 11, 12, 13
View attachment 2907750
9: Forrest Gump
View attachment 2907770
10: The Green Mile
View attachment 2907781
Aiseee namba 5 ni bonge la muvi1. 3 idiots
2. Taken zote
3. Salt
4. Hitman
5. 13 hours: The Secret Soldiers of Benghazi
6. Shawshank Redemption
7. Black Hawk Down
8. Tears of the Sun
9. Tangled
10. Despicable Me 1n2
Ya kaisari mwachie kaisarJesus Movie(1979) hasa iliyotafsiriwa Kiswahili ..yule mtangazaji aliyetafsiri alitisha balaa
@depal hahaja namba 8 hio hahahh1.Merlin
2. Bel Air.. Fresh prince.. hii bado inaendelea, hata nikirudia S1 bado naiona mpya.
3. Blood and water
4. Popote alipo Anord ‘shozniga’
5. Baby’s day out
6. Hidden strike… Movie yoyote yenye ujeshi ndani yake. Ngumi za kwenda.
7. Mission Impossible: dead reckoning
8. Fifty shades of gray