nxon JF-Expert Member Jul 16, 2011 1,162 406 Jun 20, 2012 #1 Ndo hivyo wadau kama kichwa kinavyo elezea.
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,735 39,836 Jun 20, 2012 #2 ni ngumu kuelezea ni kama unasema computer gani nzuri dell au hp? Upo general sana Inatakiwa uchague specific modem mfano huawei e173 na zte mf190 ipi nzuri?
ni ngumu kuelezea ni kama unasema computer gani nzuri dell au hp? Upo general sana Inatakiwa uchague specific modem mfano huawei e173 na zte mf190 ipi nzuri?
T tmg Member Jan 17, 2011 22 4 Jun 21, 2012 #3 HUAWEI ni bora zaidi !! yenyyewe inashika 3G na high speed but ZTE hazina power mara nyingi ukiwa mbali na town zinashika edge au high speed kwa mara moja moja !!
HUAWEI ni bora zaidi !! yenyyewe inashika 3G na high speed but ZTE hazina power mara nyingi ukiwa mbali na town zinashika edge au high speed kwa mara moja moja !!