Kwanini wanawake wanatuona wanaume kama wajinga tusio na akili?

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,946
5,852
Kama kichwa cha habari kinavyo ainisha, wanawake wanajiona wao kuwa ni wajanja sana kiasi kwamba cha kutuona sisi ni wajinga wao na wenye uhitaji sana na wao.

Sasa ni sababu zipi zinazopelekea wao kutuona hivyo?
 
Mwanaume utaonekana na utachukuliwa mjinga nasio tu wanawake Kama unaendeshwa na hisia kichwa chako Cha chini kikutawale.
Unapata buku 5000 kwa siku unahonga 4000 unakula buku lazima wakuone mjinga.
Unazalisha kuo na kulea hutaki watakuona mjinga.
Unagombana na marafiki ndugu na jamaa zako wa karibu kisa mwanamke watakuona mjinga.
Huheshimu kazi wala kipato chako kisa mbusu watakuona mjinga.
 
Back
Top Bottom