Ni modem gani nzuri kati ya HUAWEI na ZTE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni modem gani nzuri kati ya HUAWEI na ZTE?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by nxon, Jun 20, 2012.

 1. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ndo hivyo wadau kama kichwa kinavyo elezea.
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,773
  Likes Received: 7,085
  Trophy Points: 280
  ni ngumu kuelezea ni kama unasema computer gani nzuri dell au hp? Upo general sana

  Inatakiwa uchague specific modem mfano huawei e173 na zte mf190 ipi nzuri?
   
 3. t

  tmg Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HUAWEI ni bora zaidi !! yenyyewe inashika 3G na high speed but ZTE hazina power mara nyingi ukiwa mbali na town zinashika edge au high speed kwa mara moja moja !!
   
Loading...