[emoji16][emoji16][emoji16]ngoja nimsome mkuuHoney bedger anakimbia kama hataki
Anakula chochote anachokutana nacho
Anakula nyoka wote
Nyuki wakimuona wanamkimbia
Anachukua asali Kama kaitengeneza yeye
Akikutana na Kobe anakula mpaka Gamba lake
Ni mnyama anayeongoza kwa kutokua muoga porini
Hawezi kuuawa na mnyama yoyote
Huyo ndio Honey bedger mwenyewe a.k.a nyegere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! kunyofolewa tena uume hapo sasa inabid Mbwa ndio apambane naye tu.Akikutana na binadamu hasa wa kiume cha kwanza huwa ananyofoa sehemu nyeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sikuona Mkuu ila sifa walizotaja pia meno yake yana uwezo wa kuvunja gamba la kobe, hiyo Makala ilikuwa ikimzungumzia honey badger na kiumbe mwingine anaitwa Tasmanian devil.Kwenye hiyo makala walimuonyesha akiwa anakula gamba la kombe?
Hapana sikuona Mkuu ila sifa walizotaja pia meno yake yana uwezo wa kuvunja gamba la kobe, hiyo Makala ilikuwa ikimzungumzia honey badger na kiumbe mwingine anaitwa Tasmanian devil.
Hatari sana mdau ngoja niipitieNi kweli mkuu nyegere ana sifa za kutisha sana lakini hawezi kula gamba la kobe japokua anamla kobe.
Pitia hii link ya YouTube uone jinsi anavyomla kobe
Bila shaka uliinjoi sana kuangalia hiyo makala ya honey badger na Tasmanian devil maana hawa ni mtu na mjomba wake tifu lao linafanana
Tasmanian devil anatisha na anaweza kula mlo mmoja sawa na 40% ya uzito wake.Ni kweli mkuu nyegere ana sifa za kutisha sana lakini hawezi kula gamba la kobe japokua anamla kobe.
Pitia hii link ya YouTube uone jinsi anavyomla kobe
Bila shaka uliinjoi sana kuangalia hiyo makala ya honey badger na Tasmanian devil maana hawa ni mtu na mjomba wake tifu lao linafanana
Tasmanian devil anatisha na anaweza kula mlo mmoja sawa na 40% ya uzito wake.
Ndiyo huyu wanasema ana wivu sana na mke/mpenz wake?Akikutana na binadamu hasa wa kiume cha kwanza huwa ananyofoa sehemu nyeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo huyo kaka ukimzingua anaweza kukufuatilia toka Dar mpaka Chalinze na akikutana na wewe anaanza na Korodani
AhhahhahMiguu na masikio kama sungura lakini mkia wake mrefu hawezi kua yeye.
Sitaki kabisa kuamini kua huyo ni mtemi honey badger ameangushwa kizembe na mbwa?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] korodaniNdiyo huyo kaka ukimzingua anaweza kukufuatilia toka Dar mpaka Chalinze na akikutana na wewe anaanza na Korodani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anatoa huduma ya kuhasi bila malipo[emoji1] [emoji1] [emoji1] korodani